-
HAMAS: Tuko tayari kwa vita vya muda mrefu na hatutaachana na Muqawama
Dec 14, 2023 04:19Osama Hamdan, Kiongozi Mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza azma thabiti ya harakati hiyo ya Muqawama wa Wapalestina yenye makao yake katika Ukanda wa Gaza ya kuendelea kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel, ambao umeliweka eneo hilo la pwani katika vita vya mtawalia vya mauaji ya kimbari.
-
Video: Hivi ndivyo Ghaza ilivyogeuka kuwa makaburi ya Wazayuni
Dec 14, 2023 03:46Brigedi za al Qassam Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimesambaza mkanda mpya wa video inayoonesha namna Ghaza ilivyogeuka kuwa makaburi ya wanajeshi na zana za kijeshi za Wazayuni wavamizi.
-
Hamas: Mashambulizi ya Yemen dhidi ya meli za Kizayuni ni ujumbe muhimu kwa nchi za Magharibi
Dec 13, 2023 23:12Mjumbe wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema: Tunajivunia mashambulizi ya jeshi la Yemen dhidi ya meli za Kizayuni, na kitendo hiki ni uungaji mkono mkubwa kwa wananchi wa Palestina wa Gaza na ujumbe na muhimu kwa m uungano wa Magharibi.
-
Iran na Saudia zataka vita dhidi ya Gaza visitishwe mara moja
Dec 13, 2023 08:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na mwenzake wa Saudi Arabia wamesisitizia udharura wa kusimamishwa mapigano katika Ukanda wa Gaza haraka iwezekanavyo, sambamba na kutaka kufikishwa misaada ya kibinadamu katika eneo hilo la Palestina lililo chini ya mzingiro.
-
Hizbullah: Tutaendelea kuishambulia Israel hadi ikomeshe jinai zake Gaza
Dec 13, 2023 07:46Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema kundi hilo la muqawama wa Kiislamu litaendelea kufanya mashambulizi ya ulipizaji kisasi dhidi ya Israel, madhali utawala huo wa Kizayuni unaendelea kumwaga damu za Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Vita vya kimtandao sambamba na vita vya kijeshi dhidi ya utawala wa Kizayuni
Dec 13, 2023 07:06Utawala wa Kizayuni ambao haujapata mafanikio yoyote katika vita vya kijeshi dhidi ya Wapalestina, umekabiliwa na vita vikubwa vya mitandao ya kijamii.
-
Kuangamizwa askari wengine 11 wa Kizayuni huko Gaza
Dec 13, 2023 04:21Wanajeshi wengine 11 wa Kizayuni wameangamizwa katika vita vya wanamapambano wa Kipalestina, Hamasa katika Ukanda wa Gaza.
-
Hali ya zama za mwisho ya Ukanda wa Gaza
Dec 13, 2023 03:39Mashambulizi makali ya ndege za kivita ya jeshi la utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza yaliendelea jana Jumanne kwa masaa kadhaa.
-
Jeshi la Yemen: Tumeshambulia kwa kombora meli iliyokuwa ikielekea Israel
Dec 12, 2023 23:16Vikosi vya ulinzi vya Yemen vimekiri kuhusika na shambulizi la kombora la cruise dhidi ya meli ya mafuta katika Bahari Nyekundu, ikiwa njiani kuelekea katika bandari ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kushadidi mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Palestina nchini Marekani
Dec 12, 2023 23:09Marekani ikiwa ni muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni sio tu kwamba, imetoa uungaji mkono mkubwa wa kisiasa na kisilaha kwa utawala huo wakati wa vita vya Gaza, bali mfumo tawala wa Washington pia umeongeza mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Wapalestina na wakosoaji wa jinai za utawala ghasibu wa Israel.