-
Wapalestina 200 wameuawa shahidi Gaza katika masaa kadhaa yaliyopita
Dec 12, 2023 08:29Wizara ya Afya ya Palestina huko Gaza imetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 200 wameuawa shahidi huko katika Ukanda wa Gaza katika masaa kadhaa yaliyopita.
-
Kudhoofika nafasi ya Marekani miongoni mwa nchi za Kiarabu
Dec 12, 2023 08:12Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni katika nchi kadhaa za Kiarabu kuhusu Marekani umeonyesha kuwa fikra za waliowengi katika nchi za Kiarabu zimekuwa hasi sana kutokana na uungaji mkono wa nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni katika vita dhidi ya Gaza.
-
Hamas: Hakuna kubadilishana mateka bila kusimamishwa vita Gaza
Dec 12, 2023 03:54Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema iwapo hujuma ya utawala wa Kizayuni huko Gaza haitasimamishwa, hakuna mazungumzo yoyote yatakayofanyika kuhusu kubadilishana mateka wa Kizayuni na Wapalestina.
-
Asilimia 61 ya nyumba za raia Ukanda wa Gaza zimebomolewa
Dec 11, 2023 23:24Idara ya Habari ya Serikali ya Gaza imeripoti kwamba asilimia 61 ya nyumba za raia wa Kipalestina huko Ukanda wa Gaza zimebomolewa katika mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hamas yakanusha uongo wa Netanyahu, yasema kamwe haitaweka chini silaha
Dec 11, 2023 08:23Afisa wa ngazi za juu wa harakati ya Hamas amekadhibisha uongo wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuhusu eti kujisalimisha kwa wapiganaji wa harakati hiyo kwa jeshi la Israel akisema uongo huo ni kielelezo cha kufilisika na kushindwa utawala wa Kizayuni kutokana na mapambano makali ya wapigania uhuru wa Palestina.
-
Kumbukumbu ya mwaka wa sita wa ushindi dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq
Dec 11, 2023 04:32Desemba 10, 2023, imesadifiana na kumbukumbu ya miaka sita ya ushindi wa Iraq dhidi ya magaidi wa kundi la ISIS au Daesh.
-
Haaretz: Idadi ya majeruhi wa kijeshi wa Israel ni mara tatu ya takwimu rasmi
Dec 11, 2023 04:16Gazeti la Kizayuni la Haaretz limekanusha habari ya jeshi la Israel kuhusu idadi ya majeruhi miongoni mwa wanajeshi wake tangu kuanza vita katika Ukanda wa Gaza, na kuitaja kuwa ni ya uongo kwa kuzingatia kuwa idadi halisi ya majeruhi hao ni mara tatu zaidi ya takwimu rasmi na ripoti zizozotolewa na utawala huo ghasibu.
-
HAMAS: Hatutawaachia mateka wa Israel mpaka matakwa yetu yatakapotekelezwa
Dec 11, 2023 00:18Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, kamwe haitasalimu amri kwa mashambulizi ya kinyama ya mtawalia yanayofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza ili iwaachilie mateka wa utawala huo iliowakamata katika operesheni yake ya Kimbunga cha Al-Aqsa iliyotekeleza mapema mwezi Oktoba.
-
Kulaaniwa kimataifa veto ya Marekani dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la kusitisha vita vya Gaza
Dec 10, 2023 23:18Kitendo cha kinyama na cha kijinai cha Marekani cha kulipigia kura ya veto azimio la kusitisha vita Gaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kimeendelea kulaaniwa kimataifa.
-
Afisa wa Iraq: Sheria za kimataifa zimetungwa kwa ajili ya kulinda nguvu za mabeberu
Dec 10, 2023 08:07Mkuu wa Baraza la Maulamaa ambaye pia ni Mkuu wa Baraza la Kitaifa la Dini la Iraq amesema sheria za sasa za haki za binadamu duniani hazikidhi mahitaji ya watu wanaodhulumiwa ulimwenguni bali zimetungwa kwa ajili ya kulinda utawala wa nchi za kibeberu.