-
Takwimu za miezi miwili ya jinai za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza
Dec 10, 2023 06:53Takwimu za maafa ya kutisha ya kibinadamu huko Gaza ndizo zilimpelekea Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kutumia kifungu cha 99 cha hati ya Umoja wa Mataifa kujaribu kusimamisha mashambulizi ya kikatili yanayofanywa na Wazayuni dhidi ya raia wasio na hatia.
-
Mashambulizi makubwa ya utawala wa Kizayuni katikati mwa Gaza
Dec 10, 2023 03:29Utawala wa Kizayuni umeendelea kuwashambulia raia na kulenga makazi yao huko Ukanda wa Gaza katika siku ya 65 tangu kutekelezwa oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa.
-
Yemen yaonya kuzishambulia meli zinazoelekea upande wa utawala wa Kizayuni
Dec 10, 2023 03:16Vikosi vya ulinzi vya Yemen vimetoa taarifa vikitadharisha kuwa vitazuia meli zote zinazoelekea Israel bila kujali ni za nchi gani iwapo Gaza haitapata misaada ya chakula na dawa za matibabu.
-
Makundi ya muqawama yatoa mwito wa kufanyika 'mgomo wa ulimwengu'
Dec 10, 2023 00:31Muungano wa makundi ya muqawama wa Palestina umetoa mwito wa kufanyika 'mgomo kamili wa kimataifa' kwa ajili ya kuonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, ambao wanakabiliwa na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa zaidi ya miezi miwili sasa.
-
Mufti wa Oman alaani wanaotaka kudhoofisha muqawama wa Wapalestina
Dec 09, 2023 23:37Mufti Mkuu wa Oman amewakosoa wale wanaojaribu kudhoofisha harakati za mapambano ya Kiislamu (muqawama) za Wapalestina dhidi ya jinai za utawala haramu wa Israel.
-
Ripoti: Israel imeua makumi ya wanariadha wa Palestina tangu Oktoba 7
Dec 09, 2023 23:25Israel imeua shahidi makumi ya wanariadha na wamamichezo wa Palestina tangu utawala huo wa Kizayuni uanzishe mashambulizi ya kutisha dhidi ya Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7.
-
Kuongezeka wimbi la Wazayuni wanaokimbia ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel)
Dec 09, 2023 23:11Ingawa wimbi la kuhajiri Wazayuni kutoka katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina kuelekea katika nchi walikotoka lilianza huko nyuma, lakini wimbi hilo limeshika kasi sasa baada ya kuanza vita dhidi ya Gaza.
-
HAMAS yaendelea kujibu jinai za Wazayuni, Israel yakiri kujeruhiwa maelfu ya wanajeshi wake
Dec 09, 2023 11:33Wanamapambano wa Brigedi za Izzuddin al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS wametangaza leo kuwa wameendelea kuvipiga kwa makombora vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kikiwemo kitongoji cha Magin (ماگین).
-
HAMAS yalaani kitendo cha askari wa Israel cha kuwakashifu Wapalestina kwa kuwavua nguo hadharani
Dec 09, 2023 02:49Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani kitendo cha wanajeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel cha kuwalazimisha kuvua nguo Wapalestina wapatao 100 waliowakamata; na kuwakashifu kwa kuwaweka hadharani katika barabara za Ukanda wa Gaza wakiwa wamebaki na nguo za ndani tu.
-
Hizbullah ya Lebanon yashambulia ndani ya saa moja vituo sita vya jeshi la Kizayuni
Dec 09, 2023 02:42Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imevishambulia vituo sita vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa "silaha mwafaka" na kuvisababishia hasara kadhaa.