-
Kuharibika mfumo wa huduma za afya Ukanda wa Gaza na tishio kwa makumi ya maelfu ya watu
Nov 30, 2023 01:24Hata kama vita vimesitishwa kwa muda huko Gaza kwa kufikiwa mapatano kati ya utawala wa Kizayuni na harakati ya Hamas, lakini wasiwasi umeongezeka kuhusu hali ya huduma za afya na usafi katika ukanda huo.
-
Israel yaendelea kumwaga damu za watoto wadogo Jenin
Nov 30, 2023 00:24Watoto wawili wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Jenin, kaskazini ya eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Russia yailaumu Marekani kwa mgogoro wa Gaza
Nov 30, 2023 00:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya mgogoro baina ya Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Tel Aviv inataka kuongeza muda wa usitishaji vita
Nov 29, 2023 08:21Televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Iisrael (Kan) leo Jumatano imetangaza kuwa Israel inafanya jitiada za kurefusha muda wa usitishaji vita baada ya kumaliza siku mbili zilizoongezwa.
-
Hamas: Vyombo vya habari vinapasa kuakisi jinai za Israel Ukanda wa Gaza
Nov 29, 2023 07:01Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imevialika vyombo vya habari kwa ajili ya kuakisi na kuonyesha jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na kuitaka jamii ya kimataifa kuendelea kupinga na kuukosoa utawala wa Kizayuni ili usitishe uhalifu na jinai zake.
-
Wafungwa 30 wa Kipalestina waachiliwa huru katika mpango wa mabadilishano na mateka
Nov 29, 2023 04:28Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaachia huru wafungwa 30 wa Kipalestina kutoka katika gereza la Ofer katika fremu ya kubadilishana wafungwa wa Kipalestina na mateka wa Israel wanaoshikiliwa na Hamas.
-
Mawaziri wenye misimamo mikali wa Netanyahu: Usitishaji vita wa kudumu ni sawa na kuvunjwa baraza la mawaziri
Nov 29, 2023 04:06Mawaziri wawili wenye misimamo mikali katika baraza la mawaziri la muungano wa Benjamin Netanyahu wamemtishia kwamba watashinikiza kuvunjwa baraza lake la mawaziri endapo usitishaji vita wa kudumu utafikiwa huko Gaza.
-
Kurefushwa usitishaji vita Gaza na kuibuka changamoto mpya zinazoukabili utawala wa Kizayuni
Nov 29, 2023 04:05Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza ulioanza saa moja asubuhi ya Ijumaa kwa saa za huko umerefushwa kwa siku mbili zaidi.
-
Shirika la Msalaba Mwekundu lasisitiza juu ya kutumwa haraka misaada ya kibinadamu Gaza
Nov 29, 2023 03:49Shirika la Msalaba Mwekundu katika Ukanda wa Gaza limetangaza leo asubuhi kwamba Gaza inahitajia misaada ya haraka ya kibinadamuna na kwamba hatua za haraka zinapasa kuchukuliwa kwa ajili ya kudhamini misaada hiyo.
-
Nafasi muhimu ya Ansarullah katika kusitishwa vita na kuendelea kwake
Nov 28, 2023 23:13Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya muda ya Yemen yenye mfungamano na Harakati ya Ansarullah amesema, tunakumbusha kwa mara nyingine tena kwamba, usafiri wa meli utakuwa salama kwa meli zote isipokuwa meli za utawala wa Israel katika Bahari Nyekundu.