-
Matokeo ya kinyume yanayotokana na hatua ya Netanyahu kulazimisha vita dhidi ya Gaza
Nov 26, 2023 03:56Baada ya mazungumzo marefu na ucheleweshaji wa saa 24, usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala haramu wa Israel na Hamas hatimaye ulianza kutekelezwa rasmi saa moja asubuhi Ijumaa Novemba 24 kwa wakati wa Gaza.
-
Taarifa ya Kongamano la Kimataifa la Mshikamano wa Dunia dhidi ya Maangamizi ya Kizazi ya utawala wa Kizayuni
Nov 26, 2023 03:04Kongamano la Kimataifa la Mshikamano na Wanawake wa Palestina limetoa taarifa na kulaani maangamizi ya kiazi yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
-
Israel yaua shahidi Wapalestina 4 Jenin, Ukingo wa Magharibi
Nov 25, 2023 23:47Vijana wanne wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Jenin, kaskazini ya eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hizbullah: Utawala wa Israel haukuwa na budi ila kukubali usitishaji vita kwa kushindwa kukomboa hata mateka mmoja
Nov 25, 2023 22:56Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia mashambulio ya ardhini dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Yemen: Uamuzi wetu wa kumfungia adui Mzayuni njia ya Bahari Nyekundu upo palepale
Nov 25, 2023 22:55Naibu Waziri Mkuu wa Yemen anayehusika na masuala ya ulinzi ametangaza kwamba "uamuzi wetu wa kumfungia njia ya Bahari Nyekundu adui Mzayuni uko palepale na tumejiweka tayari kwa shambulio lolote".
-
Kurejea Wapalestina Gaza baada ya kutangazwa usitishaji vita; Utambulisho wa kitaifa wa Palestina dhidi ya utambulisho wa Kizayuni uliokopwa
Nov 25, 2023 22:52Kile kinachovuta hisia baada ya kutekelezwa usitishaji vita kati ya Hamas na utawala wa Kizayuni ni kurejea kwa wingi Wapalestina kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Al-Khazali: Marekani haitaki kuondoka Iraq, inatumia kisingizio cha kupambana na Daesh
Nov 25, 2023 09:33Kiongozi wa harakati ya muqawama ya Iraq amesema kuwa, vikosi vya majeshi ya Marekani havina nia ya kuondoka katika nchi hiyo ya Kiarabu na vinahalalisha uwepo wao kinyume cha sheria kwa kutumia kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh ambalo limekwishakufa na kutoweka.
-
Israel yakasirishwa na Uhispania na Ubelgiji baada ya nchi hizo mbili kusema zitatambua rasmi nchi huru ya Palestina
Nov 25, 2023 07:33Mvutano umepamba moto kati ya utawala haramu wa Israel na Uhispania na Ubelgiji, nchi mbili za Ulaya ambazo mawaziri wake wakuu wamelaani mashambulizi yaliyosababisha uharibifu mkubwa ya utawala huo dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na kuitaka Tel Aviv na jamii ya kimataifa kulitambua rasmi taifa huru la Palestina
-
Jihad al Islami: Tumewaandalia Wazayuni majibu wanayostahiki kama watavunja makubaliano
Nov 25, 2023 03:32Msemaji wa Brigedi za Quds, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina ameuonya utawala wa Kizayuni kuwa umeandaliwa majibu unayostahiki kama hautoheshimu mapatano ya kusimamisha vita huko Ghaza.
-
Kukaribishwa kwa shangwe wafungwa walioachiwa huru huko Palestina
Nov 25, 2023 03:08Idadi kubwa ya wananchi wa Palestina wamewakaribisha kwa furaha kubwa wafungwa walioachiliwa huru wa Kipalestina kutoka jela za utawala wa Kizayuni kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya Hamas na utawala wa Kizayuni.