-
Kurejea mitaani waandamanaji kumpinga Netanyahu
Oct 23, 2023 01:04Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel, kwa mara nyingine wamemiminika mitaani kushinikiza kujiuzulu waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu.
-
Wanamuqawama wa Iraq wabeba dhima ya kushambulia kambi ya Ain al Asad
Oct 22, 2023 22:54Wanamuqawama wa Kiislamu wa Iraq wametangaza kuhusika na shambulio la Jumapili asubuhi katika kambi ya anga ya vikosi vamizi vya Marekani ya Ain al Asad katika mkoa wa al Anbar huko Iraq.
-
Kuchukuliwa hatua ndogo katika vita vya Ghaza ni muhimu lakini hakutoshi
Oct 22, 2023 22:52Licha ya kwamba mashambulizi ya mauaji ya umati ya utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi zaidi ya milioni mbili na laki tatu wa Ukanda wa Ghaza yameingia katika wiki ya tatu ambapo yamesababisha majeruhi na kuawa shahidi Wapalestina zaidi ya elfu 16 na zaidi ya wakazi wa Ghaza milioni moja kuhama makazi yao, lakini kuchukuliwa hatua kadhaa, japo ni madogo, huenda kukaandaa uwanja wa kudhibitiwa mapigano na kupunguzwa machungu ya wananchi wa Palestina.
-
Israel yakiri, askari wake 307 wameangamizwa katika operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Oct 22, 2023 11:29Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba, askari 307 wa utawala huo wameuawa tangu kuanza kwa vita vya Kimbunga cha Al-Aqsa.
-
Gaza: Israel imevunja kabisa misikiti 31 na kuharibu vibaya makanisa 3
Oct 22, 2023 11:27Ofisi ya Vyombo ya Habari vya Serikali ya Ukanda wa Gaza imetangaza leo Jumapili kwamba idadi ya misikiti iliyovunjwa kabisa katika mashambulizi ya jeshi la Israel katika Ukanda wa Gaza imeongezeka na kufikia misikiti 31, na uharibifu mkubwa umerekodiwa katika makanisa 3.
-
Israel yaongeza idadi ya wafungwa wa Kipalestina hadi 10,000 katika muda wa wiki mbili
Oct 22, 2023 04:30Utawala ghasibu wa Israel umewatia mbaroni Wapalestina wengi katika wiki mbili zilizopita, tokea kuanza kwa mashambulizi yake ya kikatili katika Ukanda wa Ghaza ambapo idadi hiyo imeongeza maradufu idadi ya Wapalestina wanaoshikiliwa katika jela za kuogofya za utawala huo katika ardhi zinaokaliwa kwa mabavu.
-
Kuendelea radiamali ya wananchi na nchi za Kiislamu kwa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Oct 22, 2023 04:19Jinai za utawala wa kibaguzi wa Israel katika Ukanda wa Gaza zimeendelea kulaaniwa na tawala na mataifa mbalimbali ya duniani hususan madola na nchi za Kiislamu.
-
Ndege za kivita za Israel zashambulia msikiti Ufukwe wa Magharibi, zaendelea kuua Wapalestina
Oct 22, 2023 03:02Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa umetokea mripuko mkubwa katika kambi ya Jenin iliyoko kwenye Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hizbullah: Ukanda wa Gaza utakuwa kaburi la utawala wa Kizayuni
Oct 21, 2023 23:52Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesema jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza hazitapita hivi hivi bila kupatiwa jibu na kusisitiza kuwa, eneo hilo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu litageuka na kugeuka na kuwa kaburi la kuuzika utawala huo bandia.
-
Viongozi wa nchi za Kiarabu walaani mashambulizi ya Israel huko Gaza, wahimiza juhudi mpya za amani Palestina
Oct 21, 2023 23:50Viongozi wa nchi za Kiarabu wametoa wito wa kuanzishwa upya juhudi za amani kati ya Israel na Palestina ili kukomesha uvamizi wa Israel na kutatua mzozo unoendelea kwa miongo kadhaa kati ya pande hizo mbili, huku utawala haramu Israel ukiendeleza mashambulizi ya kikatili dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.