-
Mkutano wa amani wa kutatua mzozo wa Hamas na utawala wa Kizayuni wa Israel unafanyika Cairo
Oct 21, 2023 10:54Mkutano wa kimataifa wa amani umeanza leo asubuhi mjini Cairo, Misri, ambapo viongozi wa kiserikali kutoka mataifa mbalimbali pamoja na taasisi za kimataifa walianza kujadili maendeleo na mustakabali wa mzozo wa utawala wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Misaada ya kwanza ya kibinadamu yaingia Ukanda wa Gaza
Oct 21, 2023 09:57Awamu ya kwanza ya misaada ya kibinadamu imeingia katikak ukanda wa Gaza huko Palestina na kuleta ahueni ya namna fulani kwa wananchi hao wanaokabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu.
-
Uungaji mkono wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa Palestina
Oct 21, 2023 02:46Moja ya matunda muhimu yaliyopatikana kutokana na jinai za kinyama na za kutisha zilizofanywa, na zinazoendelea kufanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina ni kujitokeza msimamo na mwafaka wa pamoja wa Serikali na wananchi wa mataifa ya Kiislamu katika kuiunga mkono Palestina.
-
Al-Houthi: Tumo mbioni kushirikiana na ndugu zetu kwa ajili ya ukombozi wa Palestina
Oct 20, 2023 22:56Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza juu ya ulazima wa kuchukuliwa hatua madhubuti ili kukabiliana na nguvu za uovu katika eneo.
-
Madola ya Magharibi yalaumiwa kwa unafiki kuhusu vita vya Gaza
Oct 20, 2023 22:56Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limeyatuhumu madola ya Magharibi kwa kile ilichosema kuwa unafiki na undumakuwili kwa kushindwa kukemea jinai zinazofanywa na utawala wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Hatimaye Netanyahu amdhibiti Biden
Oct 20, 2023 22:54Biden ambaye awali alijiepusha kumwalika Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa kibaguzi wa Israel katika Ikulu ya White House, ameshawishika kukubali hila za Netanyahu, ambapo amesimamisha shughuli zake zote huko Marekani na kuamua kumtembelea katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika kilele cha uzee wake.
-
Holocaust ya karne mara hii yatekelezwa Gaza
Oct 20, 2023 09:00Wakati dunia ingali katika mshangao wa kushambuliwa kwa mabomu hospitali iliyojaa Wapalestina waliojeruhiwa na jeshi la utawala ghasibu wa Israel, mashambulizi makali ya anga na makombora ya utawala huo yangali yanaendelea dhidi ya Ukanda mzima wa Ghaza kwa wiki ya pili mfululizo.
-
Israel sasa yashambulia makanisa baada ya kushambulia Misikiti na hospitali Ghaza
Oct 20, 2023 03:24Baada ya utawala katili wa Israel kushambulia Misikiti na hospitali za Ukanda wa Ghaza, sasa umeyaelekea makanisa ya ukanda huo na kuua na kujeruhi Wakristo wengi.
-
Israel: Kukomboa mateka na kulinda roho za raia si kipaumbele chetu
Oct 20, 2023 03:20Waziri mmoja wa serikali yenye misimamo mikali ya Kizayuni amejigamba kuwa, suala la kukomboa mateka wa Israel na kulindwa roho za raia huko Ghaza, si kipaumbele kwa utawala wa Kizayuni.
-
Wasiwasi wa kimataifa kuhusu mgogoro wa kibinadamu Ukanda wa Ghaza
Oct 19, 2023 23:07Shambulio la utawala wa Kizayuni katika hospitali huko katika Ukanda wa Ghaza limelaaniwa na pande mbalimbali kimataifa.