-
Nchi za Kiarabu zapinga vikali kulazimishwa kuhama wakazi wa kaskazini mwa Ghaza
Oct 15, 2023 10:24Nchi za Kiarabu zinapinga vikali mpango wa Utawala wa Kizayuni wa kuwahamisha kwa nguvu wakazi wa kaskazini mwa Ghaza.
-
HAMAS yaishukuru Iran kwa inavyoipa uzito na umuhimu kadhia ya Palestina
Oct 15, 2023 04:10Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa inavyoishughulikia na kuipa umuhimu kadhia ya Palestina.
-
OIC itakutana kwa kikao cha dharura Jeddah kujadili matukio ya Ukanda wa Gaza
Oct 14, 2023 23:04Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC itafanya kikao cha dharura siku ya Jumatano katika makao yake makuu mjini Jeddah, kwa madhumuni ya kujadili matukio yanayojiri katika Ukanda wa Gaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mwandishi wa habari wa CNN aomba radhi kwa kuizulia uongo HAMAS kuwa imechinja watoto
Oct 14, 2023 23:03Mwandishi wa habari wa CNN ameomba radhi kwa kutangaza habari za uongo za kudai kwamba wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS waliwakata vichwa watoto wadogo na watoto wachanga wakati ya Operesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa dhidi ya Wazayuni.
-
Hizbullah yatoa taarifa kuhusu mashambulio makali iliyofanya dhidi ya ngome za Israel
Oct 14, 2023 23:03Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kutangaza kuwa imetoa kipigo kikali katika mashambulio iliyofanya dhidi ya ngombe za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika katika mashamba ya Shabaa ya ardhi ya Lebanon inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Jitihada za Magharibi za kuzuia kuakisiwa habari za Wapalestina katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari
Oct 14, 2023 22:53Baada ya kuanza oparesheni kwa jina la "Kimbunga cha Al Aqsa" iliyotekelezwa na Hamas na makundi mengine ya mapambano ya Palestina; serikali na vyombo vya habari vya Magharibi kwa upande mmoja vimeanzisha propaganda kubwa ili kuzuia kuakisiwa habari na matukio yanayojiri huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu huku vikichapisha na kutoa habari za uwongo ili kuonyesha taswira isiyo ya kibinadamu kuhusu wanamapambano wa Palestina.
-
UNRWA yatahadharisha: Roho za watu zitateketea endapo fueli na maji ya kunywa hayataingizwa Gaza
Oct 14, 2023 10:26Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA limetoa mwito wa indhari likisema: "tunataka misaada ya kibinadamu iingizwe; ikiwa fueli haitafikishwa sasa hivi Ukanda wa Gaza na kama maji ya kunywa hayatapatikana, watu wa Gaza watafariki dunia".
-
Mwanajeshi Mzayuni atoa amri ya kuuliwa Waarabu wote + VIDEO
Oct 14, 2023 10:07Duru za Kizayuni zimesambaza mkanda wa video unaomuonesha mwanajeshi mmoja Mzayuni akitoa amri kwa wanajeshi wenzake na Wazayuni kwa ujumla kuhakikisha wanawaua Waarabu wote na wasimbakishe hata mtoto mdogo.
-
Wazayuni waendeleza jinai dhidi ya Wapalestina, jamii ya kimataifa yaonya
Oct 14, 2023 10:06Taasisi na asasi mbalimbali za kimataifa zinaendelea kulaani mpango wa kikatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu wananchi wa kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Abdollahian: Wamagharibi wanapotosha ukweli ili wahalalishe jinai za israel huko Gaza
Oct 14, 2023 04:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Magharibi zinafuatilia kupotosha ukweli wa mambo juu ya matukio yanayoshuhudiwa katika Ukanda wa Gaza, ili kwa njia hiyo zihalalishe jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika eneo hilo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu.