-
Abdollahian na Nasrullah wazungumzia matukio ya karibuni kuhusu vita vya Gaza
Oct 13, 2023 23:58Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Sayyed Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah Sayyed katika ziara yake nchini Lebanon.
-
Kuundwa baraza la mawaziri la dharura; kukiri kudhoofika baraza la mawaziri la Netanyahu
Oct 13, 2023 23:32Siku tano baada ya kujiri operesheni ya kushtukiza ya Kimbunga cha al-Aqsa, Benjamin Netanyahu Wazri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel amelazimika kukubali kuunda baraza la mawaziri la dharura.
-
Safari ya kieneo ya Amir Abdollahian inayoangazia vita vya Gaza
Oct 13, 2023 08:07Huku utawala wa Kizayuni ukiendeleza hujuma na vita vyake vya jinai dhidi ya watu wasio na hatia wa Ukanda wa Gaza, Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anasisitiza ulazima wa kukomeshwa jinai hizo za Wazayuni kwa kufanya safari katika nchi kadhaa za eneo.
-
WHO yatahadharisha kuhusu mfumo wa matibabu Ukanda wa Ghaza
Oct 13, 2023 07:49Shirika la Afya Duniani limetahadharisha kuwa mfumo wa huduma za afya huko Ghaza unaelekea kusambaratika kufuatia mzingiro na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni.
-
Israel yataka wakazi wote wa kaskazini mwa Gaza wahame; imeshaua Wapalestina 1,570
Oct 13, 2023 04:13Utawala wa Kizayuni wa Israel umeuambia Umoja wa Mataifa kuwa, kuna haja kwa wakazi wote wa eneo la kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kuondoka na kwenda katika maeneo mengine ya ukanda huo katika kipindi cha saa 24 zijazo.
-
Israel yashambulia kwa makombora viwanja vya ndege Syria
Oct 13, 2023 03:43Vikosi vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel vimefanya mashambulizi ya anga kwa kutumia makombora dhidi ya viwanja viwili vya ndege nchini Syria; wakati huu ambapo dunia inaendelea kulaani mashambulizi ya anga ya utawala wa Tel Aviv katika maeneo ya makazi ya raia huko katika Ukanda wa Gaza ili kujaribu kufidia kipigo ulichopata kutoka kwa wapambanaji wa Hamas.
-
Brigedi za Qassam zaendelea kujibu jinai za Wazayuni kwa kuvurumisha makombora
Oct 12, 2023 23:07Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimeendelea kujibu jinai za Wazayuni kwa kuyatwanga kwa makombora na maroketi maeneo mbalimbali ya Wazayuni.
-
Askari Mzayuni awabembeleza wanamapambano wa Palestina wasimuue + VIDEO
Oct 12, 2023 23:06Wanamapambano wa Palestina wamesambaza mkanda wa video unaomuonesha askari wa Tel Aviv akitetemeka mwili mzima huku akiwaomba kwa kubembeleza wanamapambano wa Palestina wasimuue.
-
Kulipiza kisasi cha kushindwa kukubwa kwa gharama ya kufanya jinai za kivita
Oct 12, 2023 08:14Ikiwa ni katika juhudi za kulipiza kisasi cha kushindwa katika operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa, utawala wa Kizayuni umeamua kuwaua kwa umati watu wa Ukanda wa Gaza kwa kutumia silaha zilizopigwa marufuku kimataifa, yakiwemo mabomu ya fosforasi.
-
Je, Ukingo wa Magharibi utaisaidia Gaza?
Oct 12, 2023 03:51Huku siku chache zikiwa zimepita tangu kuanza operesheni ya kushtukiza ya Kimbunga cha al-Aqsa, utawala ghasibu wa Israel umeshadidisha mashambulizi ya kipofu kwenye maeneo ya makazi ya raia huko katika Ukanda wa Gaza ili kujaribu kufidia kipigo ulichopata kutoka kwa wapiganaji wa Hamas.