-
Wafanyakazi 11 wa Umoja wa Mataifa wauawa katika mashambulizi ya Israel, Ukanda wa Gaza
Oct 12, 2023 03:50Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, wafanyakazi wake 11 wameuawa katika shambulio la mabomu la utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ukanda wa Gaza.
-
Wizara ya Afya Gaza: Kukatwa umeme kutasababisha maafa makubwa katika hosiptali
Oct 12, 2023 00:11Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa kukatwa umeme katika eneo hilo, lililowekewa mzingiro na marufuku ya kila kitu na utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel, kutasababisha vifaa vya mahospitali vishindwe kufanya kazi na kuhatarisha maisha ya wagonjwa wa Kipalestina.
-
Hamas yajibu matamshi ya kichochezi ya Biden juu ya Palestina
Oct 11, 2023 23:02Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekosoa vikali matamshi yaliyotolewa na Rais Joe Biden wa Marekani na kusisitiza kuwa, matamshi hayo ya kichochezi yanalenga kukoleza moto wa jinai za utawala katili wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Kimbunga cha al-Aqswa; kushadidi uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni
Oct 11, 2023 10:58Katika hali ambayo, Wapalestina wanaendelea kuandamwa na hujuma na mashambulio ya mabomu ya utawala wa Kizayuni wa Israel, Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza kuwa nchi hiyo itatoa silaha zaidi kwa Wazayuni.
-
Hamas: Tunalenga jeshi vamizi la Israel, hatushambulii raia na watoto
Oct 11, 2023 08:31Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza leo Jumatano kwamba wanamapambano wa Palestina na wapiganaji wa tawi lake la kijeshi, Brigedi za Al-Qassam, wanaepuka raia, na wanalenga tu mfumo wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Operesheni Kimbunga cha Al-Aqsa.
-
Wanajeshi wa Kizayuni wanazishambulia timu za matabibu na huduma ya kwanza
Oct 11, 2023 04:41Msemaji wa Wizara ya Afya katika Ukanda wa Ghaza ameeleza kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wanazishambulia kwa makusudi timu za matabibu wa huduma za kwanza na magari ya kubebea wagonjwa (Ambulances).
-
Wapalestina waandamana Ukingo wa Magharibi kuwaunga mkono wenzao wa Ghaza
Oct 11, 2023 04:34Raia wa Palestina wamefanya maadnamano katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kuonyesha uungaji mkono wao kwa wenzao wa Ukanda wa Ghaza sambamba na kuyaunga mkono makundi ya muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Mauaji ya makusudi dhidi ya raia wa Ghaza wasio na hatia
Oct 11, 2023 01:18Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni ametangaza kuwa ametoa amri ya kuzingirwa kikamilifu Ukanda wa Ghaza.
-
Jeshi la Israel lakiri: Zaidi ya Wazayuni 1,200 wameuawa
Oct 10, 2023 23:29Jeshi la utawala haramu wa Israel limeungama na kusema kuwa Wazayuni zaidi ya elfu moja na 200 wameangamizwa na wapiganaji wa makundi ya mapambano ya Palestina, tangu Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa ilipoanza Jumamosi iliyopita.
-
Ansarullah: Kimbunga cha al-Aqsa ni ushindi wa kihistoria
Oct 10, 2023 23:05Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amepongeza Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa na kueleza kuwa, shambulizi la kushtukiza la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) na makundi mengine ya mapambano ya Palestina dhidi ya Israel ni ushindi wa kihistoria ambao umeleta mlingano wa nguvu na kuusabababishia hasara kubwa utawala wa Kizayuni wa Israel.