-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Sep 18, 2023 23:01Sambamba na maadhimisho ya sikukuu za Kiyahudi, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wameuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi.
-
Njama za Marekani za kuongeza uwepo wake wa kijeshi nchini Yemen
Sep 18, 2023 08:49Tangu mazungumzo kati ya Yemen na Saudi Arabia kuhitimisha vita yalipochukua mkondo wa azma ya kweli, harakati za kijeshi za Marekani na Uingereza nazo zimeongezeka na kuimarika ili kuimarisha uwepo wao wa kijeshi katika nchi hiyo.
-
Serikali ya Iraq yasambaratisha genge la kigaidi mjini Baghdad
Sep 18, 2023 07:15Shirika la Usalama wa Taifa la Iraq limetangaza habari ya kusambaratishwa na kutiwa mbaroni kanali ya kigaidi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.
-
Wazayuni wakasirishwa na uamuzi wa UNESCO
Sep 18, 2023 01:07Uamuzi wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) wa kuingiza eneo la kihistoria la Palestina katika Orodha ya Turathi za Dunia umeukasirisha utawala wa Kizayuni.
-
Jumuiya na asasi 27 za Bahrain zapinga kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Sep 17, 2023 09:18Jumuiya na asasi 27 za Bahrain zimetangaza kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wac Israel.
-
HAMAS: Katu hatutauacha peke yake msikiti wa al-Aqswa
Sep 17, 2023 08:58Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, katu harakati hiyo haitauacha mkono msikiti mtakatifu wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Miaka 41 tangu kujiri mauaji ya Sabra na Shatila; kuendelea uungaji mkono wa Magharibi kwa utawala wa Kizayuni
Sep 17, 2023 08:34Mauaji ya Sabra na Shatila ni mfano mmoja tu wa jiani za kutisha zinazoendelezwa kwa malengo maalumu na utawala ghasibu wa Israel na kwa uungaji mkono wa nchi za Magharibi na hasa Marekani.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Wazayuni wanataka kuwatenganisha Waislamu na Qur’ani Tukufu
Sep 17, 2023 06:22Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, lobi ya Wazayuni na waungaji mkono wake duniani kote wanataka kuyatenganisha mataifa ya Kiislamu na Qur'ani Tukufu na vilevile Mtume Muhammad (SAW) ili kuendeleza ajenda zao wenyewe.
-
Uturuki yafanya mazungumzo na Iraq, Qatar na UAE kuhusu mradi wa "Barabara ya Maendeleo"
Sep 15, 2023 22:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amethibitisha kuwa nchi yake inafanya mazungumzo na Iraq, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) na Qatar kuhusu mradi wa "Barabara ya Maendeleo".
-
HAMAS yalaani kauli ya Katibu Mkuu wa UN kuyaita mapambano ya Wapalestina 'vurugu na utumiaji nguvu'
Sep 15, 2023 09:56Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekosoa vikali kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ya kuuita Muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kuwa ni "vurugu" na kusisitiza kwamba kinachofanyika katika ardhi za Palestina ni haki ya kujihami dhidi ya utawala unaokalia ardhi kwa mabavu.