-
Hamas: Kadhia ya Palestina inakabiliwa na changamoto ya aina yake
Aug 10, 2023 03:35Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeeleza kuwa suala la Palestina linakabiliwa na changamoto ambayo haijawahi kushuhudiwa.
-
Walowezi wa Kizayuni wenye kufurutu ada wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Aug 09, 2023 22:52Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu mpaka kwa mara nyingine tena wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.
-
Kuimarishwa uwepo wa kijeshi wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi na matokeo yake
Aug 09, 2023 03:51Kuimarishwa uwepo wa kijeshi wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi ni miongoni mwa maudhui zinazopewa uzito siku hizi na kufuatiliwa kwa karibu na vyombo vya habari; na kwa kutilia maanani uhitaji ilionao Marekani na utawala wa Kizayuni kwa jambo hilo, habari zinazohusiana na harakati mpya za kijeshi zilizoanzishwa na Washington katika eneo hili zinaakisiwa kwa upana na uzito mkubwa zaidi na vyombo vya habari vya Magharibi na vya Kizayuni.
-
Hamasa: Kuripua nyumba za raia wa Palestina ni ishara ya udhaifu wa Wazayuni
Aug 08, 2023 23:43Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuripua nyumba za mashahidi wa Palestina na kusisitiza kuwa, sera hizo za viongozi wa Tel Aviv ni ishara ya kutojiweza utawala wa Kizayuni.
-
Kushadidi wahaka wa shakhsia wa kiusalama kuhusu kufikia mwisho uhai wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 08, 2023 04:54Tamir Pardo, mkuu wa zamani wa Shirika la Kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) ametangaza kuwa, utawala huo unakaribia mwisho wake.
-
Upinzani Bahrain wapinga kuajiriwa madaktari wa Israel
Aug 08, 2023 03:52Mrengo mkubwa zaidi wa upinzani Bahrain umekosoa vikali azma ya utawala wa Aal-Khalifa ya kuwaajiri madaktari wa utawala haramu wa Israel katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wasiwasi wa Baraza la Usalama kwa hali ya kibinadamu nchini Afghanistan
Aug 07, 2023 22:38Akthari ya washiriki katika mkutano wa hivi karibuni wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa chini ya kichwa "Ukosefu wa Usalama wa Chakula Duniani" walionyesha wasiwasi walionao kwa hali ya kibinadamu nchini Afghanistan.
-
HAMAS: Israel ni adui wa Umma wa Kiislamu, tuungane kukabiliana na uchokozi wake
Aug 07, 2023 08:34Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusababisha vifo vya askari wanne wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, umma wote wa Kiislamu unapaswa kuungana pamoja kukabiliana na utawala huo dhalimu.
-
Mkutano wa Jeddah wa kujadili vita vya Ukraine wamalizika bila ya kupatikana tija ya maana
Aug 07, 2023 07:59Mazungumzo ya siku mbili ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa vita kati ya Ukraine na Russia yaliyofanyika mjini Jeddah, Saudi Arabia yamemalizika bila kupatikana tija na matokeo ya maana.
-
Mwanamitindo Mzayuni aliyejipenyeza kama mwizi atimuliwa nchini Misri
Aug 07, 2023 03:23Maafisa wa hoteli moja nchini Misri wamemfukuza mwanamitindo maarufu wa Kizayuni baada ya kugundua utambulisho wake. Mzayuni huyo aliingia Misri kwa paspoti nyingine na alificha Uzayuni wake.