-
Jumuiya ya Wanahabari: Mashia wanaendelezwa kukandamizwa nchini Bahrain
Aug 06, 2023 23:12Jumuiya ya Wanahabari wa Bahrain imetangaza kuwa,utawala wa Al-Khalifa unaendelea kuwatesa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Utawala wa Netanyahu umechochea mapingano katika kambi ya Wapalestina ya Ain Halweh
Aug 06, 2023 23:09Kwa bahati nzuri, usitishaji mapigano upo katika kambi ya wakimbizi ya Kipalestina huko Ain Al-Hilweh, iliyoko kusini mwa Lebanon, na juhudi za kisiasa, haswa za vikundi vya muqawama wa Lebanon na Palestina, zinaendelea ili kudumisha usitishaji mapigano.
-
Haaretz: Mgogoro wa kushindwa jeshi la Israel unazidi kupanuka
Aug 06, 2023 07:17Vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kuwa matatizo yanayowapata wanajeshi wa utawala huo ni makubwa mno kuliko kile kinachoelezwa na maafisa usalama wa Tel Aviv.
-
Miaka mitatu baada ya mlipuko wa Beirut bado kesi ya kadhia hii haijatatuliwa
Aug 06, 2023 07:01Ikiwa imetimia miaka mitatu tokea kujiri mlipuko wa kutisha huko Beirut mchakato wa mahakama katika kesi ya mlipuko huo bado haujakamilika na Lebanon bado inatawaliwa na serikali ya mpito.
-
Walowezi wa Kizayuni waliwashambulia Wapalestina mara 900 Julai
Aug 06, 2023 04:21Kamisheni ya mapambano ya Palestina imesema katika ripoti yake mpya kuwa, vikosi vya utawala haramu wa Israel pamoja na walowezi wa Kizayuni waliwashambulia Wapalestina na maeneo yao matakatifu karibu mara 900 mwezi uliopita wa Julai.
-
Saudia yaitisha mkutano wa nchi 40 kujadili vita vya Ukraine bila kuialika Russia
Aug 05, 2023 23:00Saudi Arabia imeitisha mkutano mjini Jeddah, ambao umehudhuriwa na maafisa waandamizi kutoka nchi zipatazo 40, pasi na kuishirikisha Russia, lengo likiwa ni kupendekeza kanuni kuu za kuhitimisha vita kati ya nchi hiyo na Ukraine.
-
Imran Khan akamatwa baada ya mahakama Pakistan kumhukumu kifungo cha miaka 3 jela
Aug 05, 2023 22:58Polisi wamemkamata waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan katika mji wa mashariki wa Lahore baada ya mahakama kumhukumu kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuuza zawadi za serikali kinyume cha sheria.
-
Baada ya kushindwa kijeshi, sasa Wamagharibi wameanzisha vita vya kiitikadi dhidi ya Waislamu
Aug 05, 2023 08:06Washiriki wa Kongamano la Kielimu na Kiutafiti la "Iraq al Qur'an" wamesisitiza kuwa, baada ya kufeli na kushindwa kijeshi huko Iraq, Syria, Palestina na Lebanon, sasa madola ya kibeberu duniani yameamua kuanzisha vita vya kiitikadi na kiutamaduni dhidi ya Waislamu.
-
Mejenerali Wazayuni watiwa kiwewe na nguvu za makombora za Wapalestina
Aug 05, 2023 08:00Majenerali wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni wametiwa kiwewe na nguvu za makombora zinazozidi kuongezeka za wanamapambano wa Palestina hasa katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hususa kwenye mji wa Jenen.
-
Wabahrain waandamana kuunga mkono Qur'ani Tukufu
Aug 05, 2023 04:43Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani vikali vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu nchini Uswidi na Denmark.