-
Nasrullah: Marekani ndio chimbuko la matatizo yote katika eneo
Aug 04, 2023 04:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo sababu ya matatizo mbalimbali ya kiusalama na kiuchumi yanayozisumbua nchi za eneo la Asia Magharibi.
-
Kuendelea mashambulio ya kijeshi ya Uturuki dhidi ya Syria na Iraq
Aug 03, 2023 23:02Licha ya kufanyika mazungumzo ya amani kati ya Ankara na Damascus, mashambulizi ya kijeshi ya Uturuki dhidi ya Syria na Iraq yangali ni ajenda inayofanyiwa kazi na serikali ya Ankara.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Aug 03, 2023 07:46Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada kwa mara nyingine tena wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
-
Utulivu tete katika kambi ya Ain Al-Hilweh kufuatia matamshi ya Sayyid Hassan Nasrullah
Aug 03, 2023 07:38Utulivu wa kiwango fulani umerejea katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina ya Ain Al-Hilweh nchini Lebanon kufuatia matamshi ya Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrallah, ya kusisitizia ulazima wa kusitishwa mapigano katika kambi hiyo.
-
Hamas: Tutalipiza kisasi cha damu ya watoto wa Kipalestina waliouawa shahidi
Aug 03, 2023 04:20Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa italipiza kisasi cha damu ya watoto wa Kipalestina waliouawa shahidi na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ripoti: Wapalestina zaidi ya 200 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu
Aug 02, 2023 23:16Vikosi vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimewaua shahidi Wapalestina zaidi ya 200 tangu kuanza mwaka huu 2023.
-
Malengo mawili ya ziara ya Mahmoud Abbas nchini Misri
Aug 02, 2023 22:57Mahmoud Abbas, mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA), ambaye alisafiri kwenda Misri kushiriki katika kikao cha makatibu wakuu wa makundi ya Palestina, alikutana na Rais Abdel Fattae el Sisi wa nchi hiyo na pia mkuu wa idara ya kijasusi wa nchi hiyo.
-
Wazayuni wauvunjia heshima tena Msikiti wa al-Aqsa
Aug 02, 2023 07:10Katika hatua ambayo imekuwa ni ya kawaida katika miezi ya hivi karibuni, Wazayuni kwa mara nyingine tena wameingia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa kwa uungaji mkono wa jeshi la utawala ghasibu wa Isreal.
-
Nasrullah: Lazima kilipizwe kisasi kwa jasusi wa MOSSAD aliyeichoma moto Qur'ani
Aug 02, 2023 04:32Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amewataka vijana wote wa Kiislamu wasisubiri kauli za jumuiya na mashirika bali wachukue hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya mtu aliyeichoma moto Qur'ani.
-
Jenerali wa Israel akiri; Nasrullah si mtu wa kupuuzwa
Aug 01, 2023 22:49Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Operesheni cha jeshi la utawala haramu wa Israel amesema Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ni shakhsia ambaye hapaswi kupuuzwa.