-
BCHM: Zaidi ya matukio 100 ya ukiukaji wa haki za binadamu yameripotiwa Bahrain kwa mwezi mmoja
Jul 10, 2023 08:55Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain kimetangaza kuwa, zaidi ya matukio 100 ya ukiukaji wa haki za binadamu yameripotiwa nchini humo katika kipindi cha mwezi mmoja.
-
HAMAS: Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza vita dhidi ya matukufu ya Kiislamu
Jul 10, 2023 07:54Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza vita dhidi ya matukufu ya Kiislamu.
-
IOM: Idadi ya wahajiri kutoka Afrika wanaokimbilia Yemen imeongezeka
Jul 10, 2023 04:05Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limetangaza kuwa takriban wahajiri 11,000 wa Kiafrika wameingia nchini Yemen katika muda wa mwezi mmoja.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel lakiri: Tunakabiliwa na vitisho vingi
Jul 10, 2023 03:30Maafisa wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamekiri kuwa, utawala huo ghasibu hivi sasa unakabiliwa na hatari na vitisho vingi katika ngazi tofauti.
-
Mzigo mzito wa gharama za kiuchumi ambao serikali ya Erdogan inawabebesha Waturuki
Jul 09, 2023 23:13Serikali ya Recep Tayyip Erdoğan imeongeza kodi inazowatoza wananchi wa Uturuki ili kuongeza mapato yake sambamba na kukabiliana na hali mbaya ya uchumi inayoikabili nchi hiyo.
-
Syria yaifukuza BBC kuripoti katika ardhi ya nchi hiyo
Jul 09, 2023 04:44Serikali ya Syria imetangaza kuwa imebatilisha kibali cha shirika la habari la Uingereza, BBC kutokana na kutoa ripoti za kupotosha.
-
Human Rights Watch yakosoa ubaguzi dhidi ya Waislamu wa Kishia Bahrain
Jul 09, 2023 01:06Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limekosoa ubaguzi unaofanywa na utawala wa Bahrain dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo na kutoa mwito wa kuhitimisha ubaguzi huo.
-
NAM yasisitiza ulazima wa kulindwa haki za watu wa Palestina
Jul 08, 2023 10:48Mawaziri wa mambo ya nje wa Vuguvugu la Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), wameeleza katika taarifa ya mwisho ya mkutano ulofanyika katika mji mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan, Baku, kwamba kuna haja ya kufanyika juhudi zaidi kimataifa za kutafuta njia ya ufumbuzi wa kiuadilifu utakaohakikisha Wapalestina wanarejeshewa haki zao.
-
Algeria yatenga dola milioni 30 za ujenzi mpya wa Jenin
Jul 08, 2023 04:14Serikali ya Algeria imeahidi kutoa dola milioni 30 za Kimarekani kusaidia ujenzi mpya wa kambi na mji wa Jenin ulioko kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan baada ya eneo hilo kushuhudia jinnai kubwa ya utawala wa Kizayuni.
-
Wapalestina 50,000 walisali Sala ya Ijumaa ya jana katika Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Jul 08, 2023 04:13Makumi kwa maelfu ya Wapalestina jana walisali Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al-Aqsa, ulioko katika mji wa Baytul Muqaddas huku kukiwa na hatua kali za kiusalama za utawala wa Kizayuni.