-
Arin al Usud: Israel imejifungulia milango ya jahanamu kwa mauaji ya Gaza
May 10, 2023 00:17Harakati ya mapambano au muqawama Palestina ya Arin al Usud, limeuonya utawala haramu wa Israel kuhusu mashambulizi ya kushtukiza na ya kulipiza kisasi ambayo hayajawahi kushuhudiwa baada ya kuuawa kwa makamanda watatu wa muqawama katika mashambulizi ya anga ya jeshi katili la Israel.
-
Mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya Gaza yalaaniwa kimataifa
May 10, 2023 00:12Lawama za kimataifa zimeongezeka baada ya utawala haramu wa Israel kufanya mashambulizi mapya ya anga dhidi ya Ukanda wa Gaza na kusababisha Wapalestina 13 kufa shahidi na wengine 20 kujeruhiwa.
-
Jihad Islami: Hatutachelewa kujibu ukatili wa utawala haramu wa Israel
May 09, 2023 09:34Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa makundi ya muqawama hayatachelewa kujibu ukatili uliofanywa mapema leo na jeshi la utawala haramu wa Israel katikak Ukanda wa Gaza.
-
Nafasi muhimu ya Oman katika mfumo wa kisiasa na kiusalama wa Asia Magharibi
May 09, 2023 02:13Oman ni miongoni mwa nchi ambazo zina nafasi muhimu katika mfumo wa kisiasa na kiusalama wa eneo la Asia Magharibi.
-
Marais wa Syria na Imarati wazungumza kwa simu baada ya Syria kurejea Arab League
May 08, 2023 21:55Rais Bashar al Assad wa Syria amefanya mazungumzo ya simu na Rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati), Sheikh Mohamed bin Zayed Aal Nahyan, baada ya Syria kurejea rasmi kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, (Arab League).
-
Bloomberg: Kurejea Syria kwenye Arab League ni ishara ya kupungua ushawishi wa Marekani
May 08, 2023 07:10Shirika la habari la Marekani la "Bloomberg" limeandika kuwa, uamuzi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) wa kuipuuza Washington na kuirejesha Syria kwenye umoja huo ni ishara ya wazi ya kupungua ushawishi wa Marekani katika ulimwengu wa Kiarabu.
-
Kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; takwa la Damascus au Arab League?
May 08, 2023 02:06Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Kiarabu walikubaliana katika mkutano wao waliofanya jana Jumapili tarehe 7 Mei mjini Cairo kurejeshwa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), baada ya kusimamishwa uwanachama wake kwa muda wa takriban miaka 12.
-
Askari wa Kizayuni wabomoa skuli ya msingi ya Wapalestina kusini ya Ufukwe wa Magharibi
May 07, 2023 23:30Wanajeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamebomoa skuli ya msingi ya Wapalestina yenye madarasa sita kusini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo dhalimu.
-
Mawaziri wa nchi za Kiarabu wakubaliana Syria kurejeshwa katika Arab League
May 07, 2023 06:55Chaneli ya televisheni ya Al-Arabiyya imetangaza kuwa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Kiarabu wamekubaliana katika mkutano wao uliofanyika leo mjini Cairo kurejeshwa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Hamas:Tutazidisha oparesheni za muqawama dhidi ya Wazayuni
May 07, 2023 03:26Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa taifa shujaa la Palestina kamwe halitaacha kutoa jibu kwa jinai za maghasibu wa Kizayuni na kuwa litazidisha oparesheni zake dhidi ya jinai hizo.