-
Kundi jipya la mapambano laundwa Palestina kulipiza kisasi cha damu ya Shahidi Khader Adnan
May 06, 2023 22:51Makundi ya muqawama na mapambano ya Palestina katika kambi ya Al-Jalzoon mjini Ramallah yametangaza kuwa limeundwa kundi jipya la muqawama kwa lengo la kulipiza kisasi cha damu ya Shahidi Khader Adnan.
-
Brigedi ya Jenin: Adui Mzayuni hatanusa harufu ya amani
May 06, 2023 03:15Brigedi ya Jenin yenye mfungamano na Saraya al-Quds, tawi la kijeshi la Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imetangaza kuwa, utawala ghasibu wa Israel hautaona amani, na Wazayuni watajutia waliyoyafanya.
-
Jibu la kishujaa la binti wa Kipalestina kwa jinai za Wazayuni
May 05, 2023 05:02Binti mmoja wa Palestina ametekeleza operesheni ya kishujaa ya kujitoa kufa shahidi ili kujibu jinai za mtawalia za wanajeshi makatili wa Israel na walowezi wa utawala huo pandikizi.
-
OIC: Hatua za utawala wa Kizayuni zinavuruga amani na uthabiti wa Asia Magharibi
May 05, 2023 03:42Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali hujuma na uvamizi wa jesji la utawala haramu wa Israel dhidi ya mji wa Nablos ulioko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina.
-
Wataalamu wa UN: Israel iwajibishwe kwa mauaji ya Khader Adnan
May 04, 2023 04:47Wataalamu wawili wa Umoja wa Mataifa wametaka Israel iwajibike kwa mauaji ya Khader Adnan, kiongozi Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina ambaye alikata roho na kufa shahidi akiwa anashikiliwa katika jela ya Israel kufuatia mgomo wa kususia kula kwa muda wa siku 87.
-
Kuibuka na kuanguka kwa ISIS nchini Syria na mchango mkubwa wa Shahidi Soleimani katika kushindwa kwa Daesh
May 03, 2023 22:02Hapana shaka yoyote kwamba, kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) limekuwa miongoni mwa vitisho vikubwa zaidi katika eneo la Asia Magharibi katika muongo mmoja uliopita hususan katika nchi za Syria na Iraq ambazo zilipatwa na hasara kubwa katika nyuga mbalimbali kutokana na hujuma na mashambulizi ya wapiganaji wa kundi hilo.
-
Shahidi Khader Adnan; nembo ya muqawama katika mapambano dhidi ya Israel
May 02, 2023 21:53Utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya jinai kubwa ya kumuua Sheikh Khader Adnan akiwa gerezani.
-
Mpalestina Khader Adnan akata roho na kufa shahidi akiwa ndani ya gereza la Israel
May 02, 2023 03:30Wizara inayoshughulikia masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa mateka na walioachiwa huru imetangaza kuwa Sheikh Khader Adnan, mfungwa Mpalestina amekata roho na kufa shahidi ndani ya gereza la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Makundi ya Palestina yaapa kulipiza kisasi kwa wazayuni cha damu ya Sheikh Khader Adnan
May 02, 2023 03:30Makundi ya muqawama wa Palestina yameapa kuwa yatalipiza kisasi cha damu ya Sheikh Khader Adnan aliyefia shahidi ndani ya jela ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Nujabaa ya Iraq: Tutapambana mpaka tuhakikishe hata askari mmoja wa Marekani habakii Iraq
May 01, 2023 22:44Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujabaa amesisitiza kuwa vita dhidi ya wavamizi wa Kimarekani vitaendelea hadi itakapohakikishwa hakuna hata mwanajeshi mmoja wa Marekani aliyesalia katika ardhi ya Iraq.