-
Aghalabu ya nchi za Kiislamu zatangaza Alhamisi kuwa siku ya kwanza ya Ramadhani
Mar 22, 2023 04:29Nchi nyingi za Kiislamu katika eneo la Asia Magharibu au Mashariki ya Kati zimetangaza Alhamisi, Machi 23, kuwa mwanzo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
UN, nchi za Kiarabu zalaani uropokaji wa Waziri wa Fedha wa Israel
Mar 21, 2023 22:49Umoja wa Mataifa na ulimwengu wa Kiarabu umelaani matamshi ya kichochezi yaliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Palestina.
-
Mapatano ya Kiusalama kati ya Iran na Iraq; azma thabiti ya kukabiliana na vitisho
Mar 21, 2023 22:47Katika hafla iliyohudhuriwa na Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq hapo siku ya Jumapili tarehe 19 Machi mwaka huu, makubaliano ya ushirikiano wa usalama wa pamoja wa kati ya nchi mbili jirani za Iran na Iraq yalitiwa saini na Admeri Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na Qasim al-Aarji, Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Waziri Mkuu wa Iraq.
-
Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina yakosoa kikao cha Sharm Sheikh
Mar 21, 2023 07:43Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina imekitaja kikao cha Sharam Sheikh nchini Misri kuwa hatua ya hiana dhidi ya taifa la Palestina na usaliti dhidi ya damu iliyomwagwa na mashahidi wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Palestina yaiomba mahakama ya ICC kumkamata Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni
Mar 21, 2023 03:01Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutoa hati ya kukamatwa Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na matamshi yake dhidi ya Palestina.
-
Hizbullah: Mauaji ya makamanda wa muqawama hayatafanikisha njama za Israel
Mar 20, 2023 22:59Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali mauaji ya kamanda wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na kusisitiza kuwa, mauaji ya makamanda wa muqawama kamwe hayatafanikisha njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Netanyahu ataka waandamanaji wakandamizwe na jeshi linalokaidi amri zake lichukuliwe hatua
Mar 20, 2023 22:57Duru za lugha ya Kiibrania zimetangaza kuwa, Benjamini Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ametoa wito wa kukandamizwa uasi wa jeshi la utawala huo haramu na kuchukuliwa hatua kali na thabiti zaidi dhidi ya waandamanaji wanaopinga serikali yake.
-
Ombi la OIC la kutaka Palestina ikubaliwe kuwa mwanachama kamili na rasmi wa Umoja wa Mataifa
Mar 20, 2023 06:59Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imetaka yatolewe mashinikizo ili kuhakikisha Palestina inakubaliwa kuwa mwanachama rasmi wa Umoja wa Mataifa.
-
Ufunguzi wa ubalozi wa Saudia mjini Damascus baada ya miaka 12
Mar 20, 2023 06:50Vyanzo vya kuaminika vinasema kwamba Saudi Arabia inapanga kufungua tena ubalozi wake mjini Damascus baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Safari ya Rais Assad UAE: Syria kurejea tena katika Jumuiya ya Arab League
Mar 20, 2023 03:19Rais Bashar al-Assad wa Syria jana aliwasili katika nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu na kulakiwa rasmi na Rais Mohammed bin Zayed al-Nahyan ikiwa ni ishara ya wazi ya kuhuishwa uhusiano wa Syria na mataifa ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi baada ya zaiidi ya muongo mmoja.