-
Nchi za Kiarabu zalaani mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni huko Nablus
Feb 23, 2023 02:45Baadhi ya nchi za Kiarabu zimelaani jinai mpya iliyotekelezwa na Maghasibu wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika mji wa Nablus.
-
Wazayuni wapanga mashambulizi makubwa dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa wakati wa Pasaka
Feb 22, 2023 23:02Makundi na mashirika ya Kiyahudi yenye misimamo mikali yametoa wito kwa Wazayuni yakiwataka kuushambulia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds (Jerusalem) kwa mnasaba wa Pasaka ya Kiyahudi (Passover au Pesach).
-
Onyo jipya la rais wa utawala wa Kizayuni kuhusu uwezekano wa kusambaratika utawala huo kutokea ndani.
Feb 22, 2023 05:13Kufuatia mgogoro wa ndani wa utawala haramu wa Israel na kuzuka hitilafu kali ambazo zimechochewa na mpango wa mageuzi ya mahakama, Rais Isaac Herzog wa utawala huo kwa mara nyingine tena ameonya dhidi ya uwezekano mkubwa wa kusambaratika utawala huo wa kibaguzi.
-
Taarifa rasmi ya Baraza la Usalama ya kulaani vitongoji vya walowezi
Feb 21, 2023 23:02Jumatatu ya tarehe 20 Februari Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipasisha rasimu ya azimio linalolaani uamuzi wa serikali ya Israel yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya tisa katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Matemeko mawili mapya ya ardhi yatikisa Uturuki na Syria, yaua watu kadhaa na kujeruhi mamia
Feb 21, 2023 10:25Matetemeko mawili mapya ya ardhi yenye ukubwa wa 6.4 na 5.8 katika kipimo cha Rishta yamekumba jimbo la Hatay kusini ya Uturuki na kaskazini mwa Syria.
-
Imarati yakosolewa vikali kwa kufungua kituo kiitwacho "Nyumba ya Familia ya Ibrahim"
Feb 21, 2023 09:52Hatua ya Muungano wa Falme za Kiarabu ya kuasisi kituo kilichopewa jina la "Nyumba ya Familia ya Ibrahim" (The Abrahamic Family House) kwa madai ya kueneza mazungumzo baina ya dini mbalimbali nchini humo imeamsha hasira za watumiaji wa mitandao ya kijamii wakiwemo pia shakhsia mashuhuri wa kidini.
-
Gazeti la Oman: Wakati umewadia wa nchi za Kiarabu kurejea Syria
Feb 21, 2023 07:25Kufuatia safari ya Rais Bashar al Assad wa Syria nchini Oman na mazungumzo aliyofanya mjini Muscat na Sultan Haitham bin Tariq wa nchi hiyo gazeti moja la nchi hiyo limeandika kuwa wakati umewadia kwa nchi za Kiarabu kurudi Syria na kuanzisha tena uhusiano wa kawaida na nchi hiyo ya Kiarabu.
-
HAMAS: Mielekeo ya Mamlaka ya Ndani ipo dhidi ya taifa la Palestina
Feb 21, 2023 03:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema mapatano yaliyofikiwa karibuni baina ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala haramu wa Israel kwa mashinikizo ya Marekani ni usaliti kwa kambi ya muqawama ya Wapalestina.
-
Tuhuma hizo kwa hizo na zisizo na msingi za Jamhuri ya Azerbaijan dhidi ya Iran
Feb 20, 2023 22:56Rais Ilham Aliyev wa Jamhuri ya Azerbaijan, kwa mara nyingine tena ametoa matamshi dhidi ya Iran bila kuonyesha nyaraka wala ushahidi wowote.
-
HAMAS yapongeza misimamo ya Umoja wa Afrika dhidi ya utawala haramu wa Israel
Feb 20, 2023 08:57Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imepongeza misimamo ya Umoja wa Afrika (AU) dhidi ya utawala haramu wa Israel na hatua yake ya kuliunga mkono taifa madhulumu la Palestina.