-
UN: Wapalestina milioni mbili Gaza wanateseka kutokana na mzingiro wa Israel
Feb 01, 2023 01:23Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema zaidi ya Wapalestina milioni mbili huko Gaza wanateseka kutokana na mzingiro wa miaka 16 wa utawala haramu wa Israel dhidi ya eneo hilo.
-
Mtafiti wa Kizayuni: Israel inamomonyoka ndani kwa ndani
Jan 31, 2023 08:04Mtafiti wa Kizayuni Profesa Daniel Kahneman amekosoa hatua za baraza la mawaziri la mrengo wa kulia wenye misimamo ya kufurutu mpaka linaloongozwa na waziri mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamin Netanyahu hususan kuhusiana na mageuzi ya Idara ya mahakama na kusema kuwa, hatua hizo zinamaanisha kumomonyoka ndani kwa ndani na kumalizika utawala wa Kizayuni.
-
HAMAS yatwaa droni ya kijasusi ya utawala haramu wa Israel
Jan 31, 2023 03:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imefanikiwa kutwaa ndege isiyo na rubani ya kijasusi ya utawala haramu wa Israel iliyokuwa ikiruka katika anga ya Ukanda wa Gaza.
-
Jumla ya Wapalestina 35 wameuliwa shahidi na Israel mwezi Januari pekee
Jan 30, 2023 22:53Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, mwezi Januari mwaka huu ndio mwezi uliojaa umwagaji damu mkubwa zaidi katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwaua shahidi Wapalestina 38.
-
Indhari ya UN kuhusu baa la njaa ambalo halijawahi kushuhudiwa lililoikumba Syria
Jan 30, 2023 22:50Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, njaa nchini Syria imefikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
-
Jihadul-Islami: Wapalestina hawakhofu walowezi wa Kizayuni kuzatitiwa kwa silaha
Jan 29, 2023 23:40Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema kuwa, Wapalestina hawaogopi wala hawaingiwi na hofu yoyote kwa sababu ya walowezi wa Kizayuni kuzatitiwa kwa silaha.
-
Pigo kali la Wapalestina kwa baraza lenye misimamo mikali la Israel
Jan 29, 2023 23:16Siku moja tu baada ya kutekelezwa jinai ya Wazayuni dhidi ya Wapalestina huko Jenin, kijana mmoja wa Kipalestina ametekeleza oparesheni ya kishujaa katika mji mtakatifu wa Quds inayokaliwa kwa mabavu na kusababisha vifo vya Wazayuni 10.
-
Wanamuqawama watekeleza oparesheni 57 dhidi ya Wazayuni katika saa 24 zilizopita
Jan 29, 2023 04:31Chombo kimoja cha Kizayuni kimetangaza kuwa makundi ya muqawama ya Palestina yametekeleza oparesheni 57 dhidi ya Israel katika saa 24 zilizopita.
-
Indhari ya UN: Njaa inatishia maisha ya mamilioni ya Wasyria
Jan 29, 2023 04:18Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetahadharisha kuhusu hatari inayotishia maisha ya mamilioni ya wananchi wa Syria kutokana na ukosefu wa chakula na njaa.
-
Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni
Jan 28, 2023 23:05Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba oparesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana wa Kipalestina katika eneo la Quds inayokaliwa kwa mabavu ni shambulio baya zaidi dhidi ya utwala huo katika miaka ya hivi karibuni.