-
Jihadul-Islami: Palestina haikubali kugawana ardhi na utawala wa Kizayuni
Dec 22, 2022 04:28Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, taifa la Palestina limethibitisha kwa damu safi ya vizazi vyake kwamba kamwe halitakubali kufanyika mgawanyo kati ya mataifa mawili na nchi mbili.
-
Taliban yadai: Kusimamishwa masomo ya chuo kikuu kwa wasichana ni kwa muda tu
Dec 22, 2022 03:47Msemaji wa kisiasa wa serikali ya Taliban nchini Qatar amesema uamuzi wa kuchelewesha mchakato wa masomo kwa wasichana katika vyuo vikuu ni wa muda tu.
-
Wananchi wa Bahrain waandamana wakitaka kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa
Dec 21, 2022 23:39Wananchi wa Bahrain wameandamana wakiwaunga mkono wafungwa wa kisiasa wa nchi hiyo na kutoa mwito wa kuachiliwa huru wafungwa hao wanaoshikiliwa katika magereza mbalimbali ya utawala wa kifalme wa Aal Khalifa.
-
Taliban yapiga marufuku masomo ya Chuo Kikuu kwa wanawake nchini Afghanistan
Dec 21, 2022 09:23Serikali ya Taliban imesitisha elimu ya Chuo Kikuu kwa wanafunzi wote wa kike nchini Afghanistan, hatua ya hivi karibuni kabisa ambayo inakosolewa huku kundi hilo likituhumiwa kwamba, linakandamiza haki na uhuru wa wanawake wa nchi hiyo.
-
Mkuu wa Hamas: Uhalifu wa Israel dhidi ya mfungwa wa Kipalestina aliyekuwa anaugua saratani hautapita bila kuadhibiwa
Dec 21, 2022 04:08Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Palestina, Hamas, amelaani kifo cha mfungwa wa Kipalestina aliyekuwa anaugua kansa katika jela za Israel na kusema kuwa jinai za utawala huo hazitapita bila kuadhibiwa.
-
Wauguzi wagoma tena nchini Uingereza
Dec 21, 2022 02:53Katika miezi kadhaa iliyopita, Uingereza imeshuhudia migomo mingi ya wafanyakazi wa sekta mbalimbali, ikiwa ni pamoja na sekta ya afya, sekta ya usafiri wa reli na wafanyakazi wa posta wanaolalamikia mishahara duni.
-
Iraq yatilia mkazo kuzuia mashambulizi dhidi ya nchi jirani
Dec 20, 2022 23:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema kuwa Baghdad ina jukumu la kuzuia mashambulizi ya baadhi ya magenge yenye silaha kutekeleza hujuma dhidi ya nchi jirani kutokea katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Vita vya kivamizi vya Saudia vimeisababishia Yemen hasara ya dola bilioni 64
Dec 20, 2022 07:04Nchi maskini ya Kiarabu ya Yemen imesababishiwa hasara kubwa sana na madola vamizi yaliyoongozwa na Saudia katika vita vya miaka mingi nchini humo.
-
Kufikia tamati mashindano ya soka ya Kombe la Dunia nchini Qatar na engo zake zisizo za kimichezo
Dec 20, 2022 04:09Pazia la mashindano ya soka ya Kombe la Dunia lilifungwa rasmi siku ya Jumapili kwa timu ya taifa ya soka ya Argentina kutwaa kombe hilo baada ya kumshinda bingwa mtetezi Ufaransa.
-
HAMAS: Jamii ya Kimataifa iachane na sera ya kuuma na kupuliza kuhusu jinai za Israel
Dec 19, 2022 23:05Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa sera za kuuma na kupuliza za jamii ya kimataifa kuhusiana na jinai za kila siku zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.