-
Katibu Mkuu wa Arab League: Iraq imefanikiwa kuzuia uchochezi
Sep 07, 2022 03:29Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) ameashiria baadhi ya mapigano ya hivi karibuni katika kivuli cha mivutano ya kisiasa huko Iraq na mbinu za viongozi wa nchi hiyo kwa lengo la kuhitimisha hali hiyo na kueleza kuwa: Iraq imeweza kudhibiti uchochezi nchini.
-
Afisa wa Hamas: Ukingo wa Magharibi umekuwa kitovu cha muqawama
Sep 06, 2022 23:27Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mji wa Jenin vimekuwa hifadhi na nguzo ya muqawama.
-
Syria: Vikwazo ndiyo aina mbaya zaidi ya ugaidi
Sep 06, 2022 21:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amevitaja vikwazo kama uhaini na aina mbaya zaidi ya ugaidi duniani.
-
Kuendelea mwenendo wa Uturuki wa kufufua uhusiano wake na Israel
Sep 06, 2022 21:52Baada ya miaka 15, sasa ndege za utawala haramu wa Israel zinaweza kufanya safari nchini Uturuki.
-
Operesheni za kupambana na jinai za Wazayuni zimeongezeka sana 2022
Sep 06, 2022 06:14Operesheni za kupambana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zimeongezeka sana mwaka huu wa 2022.
-
HAMAS: Utawala wa Kizayuni lazima uadhibiwe kwa kumuua Abu Akleh
Sep 06, 2022 06:02Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesitna HAMAS amezungumzia ripoti ya jeshi la utawala wa Kizayuni baada ya utawala huo katili kumuua shahidi mwandishi Mpalestina, Shireen Abu Akleh na ametaka utawala huo dhalimu upewe adhabu kali.
-
Udharura wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa nchini Iraq
Sep 05, 2022 21:43Mustafa al-Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq kwa mara nyingine ametoa wito wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa kwa ajili ya kutatua matatizo ya nchi hiyo.
-
Wanajeshi wa Israel wamuua kijana Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi
Sep 05, 2022 06:18Vikosi vya kijeshi vya utawala ghasibu wa Israel vimempiga risasi na kumuua shahidi kijana mwingine wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo siku ya Jumatatu.
-
Kununuliwa ardhi kwa ajili ya Wazayuni; juhudi za kuyahudishwa Manama
Sep 05, 2022 01:10Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya al-Wifah nchini Bahrain amesema kuna mpango wa siri unaotekelezwa kwa lengo la kuanzisha mtaa wa Mayahudi katika sehemu kongwe ya Manama, mji mkuu wa Bahrain.
-
UNICEF: Asia Magharibi inakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula, Yemen imeathiriwa zaidi
Sep 04, 2022 22:01Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuwa migogoro inayoendelea na kuzorota kwa hali ya kibinadamu katika nchi kadhaa za Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) na Kaskazini mwa Afrika (MENA) hususan Yemen kumewaacha mamilioni ya watu wakiwemo watoto katika hatari ya njaa.