-
Safari ya Biden imefanyika kwa lengo la kuchochea mivutano na kuvuruga amani katika eneo hilo
Jul 17, 2022 05:33Wazayuni walimtandazia zulia jekundu Rais Joe Biden wa Marekani katika safari yake ya karibuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, wakitarajia kwamba wangeweza kumnasa katika mtego ule ule waliotumia kumnasa Donald Trump ambaye kutokana na hila za Benjamin Netanyahu, aliyatumbukiza mapatano ya nyuklia ya JCPOA katika matatizo ya hivi sasa.
-
UAE: Tumo mbioni kupeleka balozi wetu Tehran
Jul 16, 2022 21:45Mshauri wa masuala ya kidiplomasia wa Rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) Anwar Qarqash amesema nchi yake iko mbioni kumrejesha balozi wake mjini Tehran.
-
Ansarullah ya Yemen: Hatukubali chochote kile ghairi ya kukomeshwa vita na kuondolewa mzingiro
Jul 16, 2022 21:43Mjumbe mwandamizi wa Baraza la Kisiasa ambaye pia na Kiongozi wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema, Sana'a haikubali chochote kile isipokuwa kuhitimishwa uvamizi wa kijeshi na mzingiro iliowekewa na muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia na Imarati (UAE).
-
Fawzi Barhoum: Shambulio dhidi ya Gaza ni kilele cha uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Wazayuni
Jul 16, 2022 03:44Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amelitaja shambulio la ndege za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza kuwa ni kilele cha uungaji mkono wa Washington kwa jinai na uhalifu unaofanywa na utawala huo.
-
Hamas yapinga misimamo ya Saudia ya kujikurubisha zaidi kwa wazayuni maghasibu
Jul 15, 2022 22:25Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga vikali hatua ya Saudi Arabia ya kufungua anga ya nchi hiyo kwa ndege za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel yaidhinisha Saudia kupewa visiwa viwili vya Misri
Jul 15, 2022 22:12Utawala wa Kizayuni wa Israel umeripotiwa kubariki mpango wa kukabidhi visiwa viwili vya kistratajia vya Misri kwa Saudi Arabia.
-
Shukurani za Gavana wa jimbo la Herat kwa misaada ya Iran kwa watu wa Afghanistan
Jul 15, 2022 22:12Gavana wa jimbo la Herat ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa misaada yake kwa watu wa Afghanistan.
-
Vita vya Siku 33; mabadiliko muhimu na makubwa kwa Muqawama katika muundo wa kisiasa na kiusalama Asia Magharibi
Jul 15, 2022 04:19Miaka 16 imepita tangu vilipopiganwa vita vya mwaka 2006 vilivyoanzishwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon.
-
Wapalestina waandamana kupinga ziara ya Biden Asia Magharibi
Jul 15, 2022 02:48Mamia ya Wapalestina wamefanya maandamano katika eneo la kaskazini la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kupaza sauti zao za kupinga ziara ya Rais Joe Biden wa Marekani katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu yaliyopachikwa jina la Israe katika safari yake ya kwanza ya Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kama rais wa Marekani.
-
Indhari ya Raisi kwa Marekani sambamba na safari ya Biden Asia Magharibi
Jul 14, 2022 22:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kuwa, Iran haiataachana na misimamo yake ya haki na ya kimantiki na hakuna aliye na haki ya kutumia lugha ya mabavu mkabala wa taifa la Iran.