-
Alqaida na ISIS watwangana, wanamapambano wa Yemen wakomboa maeneo muhimu Ma'rib
Mar 24, 2022 02:41Duru za Yemen zimetangaza habari ya kutokea mapigano makali baina ya makundi ya kigaidi kusini mwa mkoa wa Ma'rib huku wanamapbamano wa Yemen wakikomboa baadhi ya maeneo muhimu ya kiistratijia katika mkoa huo.
-
Asaeb Ahlul Haq Iraq: Ikiwa uvamizi wa Marekani utaendelea, silaha za muqawama zitatoa jibu
Mar 23, 2022 23:03Harakati ya Asaeb Ahlul Haq nchini Iraq imetangaza kuwa itaanzisha mapambano ya silaha iwapo Marekani haitaondoka katika ardhi ya Iraq hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.
-
Malengo ya mikutano ya Bennett, Bin Zayed na Al-Sisi huko Misri
Mar 23, 2022 21:52Waziri Mkuu wa Israel na Mwanamfalme wa Abu Dhabi wamekutana na Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri katika ziara zao nchini humo.
-
Wazayuni wasiopungua wanne waangamizwa katika operesheni ya Wapalestina ya Bi'ru-Sab'i
Mar 23, 2022 03:30Duru za Palestina zimeripoti kuwa Wazayuni wasiopungua wanne wameangamizwa katika operesheni ya muqawama iliyotekelezwa na kijana Mpalestina katika mji wa Bi'ru-Sab'i Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Waziri wa Ulinzi wa Yemen: Mustakabali wa kutisha utaziandama nchi vamizi
Mar 23, 2022 03:18Waziri wa Ulinzi wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen amesisitiza kuwa, muundo na sura ya muqawama katika siku zijazo utakuwa wa kutisha kwa nchi vamizi.
-
Uuzaji makombora na jinsi Marekani inavyoendelea kuitazama Saudia kama wenzo tu
Mar 22, 2022 22:17Kufuatia ombi lililotolewa na Saudi Arabia, serikali ya Marekani imeipatia nchi hiyo ya kifalme idadi kadhaa ya makombora ya patriot.
-
Uchunguzi: Bin Salman anasumbuliwa na maradhi ya megalomania
Mar 22, 2022 22:13Ushahidi wa kisaikolojia na kisayansi unathibitisha kuwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman, anasumbuliwa na ugonjwa wa kichaa cha kujiona kuwa adhimu na muhimu kupita kiasi (megalomania) na matatizo yanayoambatana na ugonjwa huo.
-
Pakistan yasisitiza kuimarishwa hadhi ya kimataifa ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC)
Mar 22, 2022 08:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema katika hafla ya ufunguzi wa kikao cha 48 cha Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwamba: "Kuimarishwa na kutatua matatizo ya nchi zote wanachama ndilo lengo kuu la OIC."
-
Saree: Tutaendeleza mashambulizi mapya dhidi ya Saudia hadi tuvunje mzingiro
Mar 22, 2022 01:59Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya jeshi hilo vitaendelea kushambulia vituo vya kimkakati na nyeti vya nchi wanachama wa muungano unaoongozwa na Saudi Arabia katika mashambulizi makubwa yaliyopewa jina la Operesheni ya Kuvunja Mzingiro, hadi nchi hizo zitakapokomesha mzingiro huo.
-
'Kuweko utawala wa Kizayuni huko Kurdistan ya Iraq kutaitumbukiza vitani nchini hiyo'
Mar 21, 2022 23:01Msemaji wa masuala ya kijeshi wa harakati ya Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, kuweko utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Kurdistan la Iraq kutaitumbukiza vitani nchi hiyo ya Kiarabu.