-
Sanaa: Makombora ya Yemen, ndege zisizo na rubani zitapindua viti vya wafalme wa nchi vamizi
Mar 21, 2022 03:13Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limetangaza kuwa, mashambulio ya makombora na ndege zisizo na rubani za jeshi la nchi hiyo yataangusha viti vya wafalme wa nchi vamizi na kuwathibitishia kwa mara nyingine kwamba Yemen litakuwa kaburi la wavamizi hao.
-
Umuhimu wa safari ya Bashar al Assad huko Imarati
Mar 20, 2022 23:05Rais wa Syria Bashar al-Assad Ijumaa iliyopita alifanya ziara yake ya kwanza katika nchi ya Kiarabu baada ya miaka 11. Assad alitembelea nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika ziara ambayo imewashangaza wengi na kuikasirisha mno serikali ya Marekani
-
Yemen yafanya mashambulizi kadhaa ya kulipiza kisasi ndani ya Saudi Arabia
Mar 20, 2022 08:07Vikosi vya Jeshi la Yemen, vikisaidiwa na wapiganaji wa harakati ya wananchi ya Ansarullahu, vimeanzisha mashambulizi mapya ya kulipiza kisasi dhidi ya Saudi Arabia, ikiwa ni pamoja na hujuma iliyolenga kituo kinachoendeshwa na kampuni ya mafuta ya Aramco katika eneo la kistratijia la Jizan, ili kulipiza kisasi uchokozi wa kijeshi za utawala wa Riyadh dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.
-
Balozi wa Yemen: Baadhi ya nchi za Kiarabu ni vikaragosi vya Marekani
Mar 20, 2022 04:44Balozi wa Yemen mjini Tehran amekosoa vikali tabia ya baadhi ya tawala za Kiarabu ya kujikomba na kujidhalilisha kwa Marekani na kusisitiza kuwa, Washington inayatumia madola hayo kama chombo cha kufanikisha njama zake katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kuwait yataka Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mabunge Duniani
Mar 20, 2022 00:22Spika wa Bunge la Kuwait amekosoa sera za undukumakuwili za Jamii ya Kimataifa kuhusu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kutaka ujumbe wa utawala huo utimuliwe katika kikao cha Umoja wa Kimataifa wa Mabunge.
-
Bin Salman atumia mafuta kuishinikiza Magharibi iiruhusu Saudia iendelee kunyonga watu
Mar 19, 2022 23:19Tovuti ya habari ya Middle East Eye imeripoti kuwa, Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia anazinishiniza nchi za Magharibi zikubali Saudia iendelee kunyonga watu na kufanya inavyotaka mkabala wa mafuta ya petroli.
-
Nasrullah akanusha madai ya kuwepo vikosi vya Hizbullah nchini Ukraine
Mar 19, 2022 08:55Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekanusha vikali ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari inayodai kuwa wapiganaji kadhaa na washauri wa kijeshi wa harakati hiyo ya muqawama wapo Ukraine kupigana katika safu moja na wananajeshi wa Russia.
-
Al-Bakhiti: Umoja wa Ulaya umeonyesha kuporomoka kwake kimaadili
Mar 19, 2022 08:27Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen, amekosoa hatua ya Umoja wa Ulaya (EU) ya kuiweka harakati ya Ansarullah katika orodha yake nyeusi na kusema: "EU imeonyesha kuporomoka kwake kimaadili kwa kitendo hiki."
-
Marekani yakasirishwa na safari ya Bashar al Assad nchini Imarati
Mar 19, 2022 03:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amepinga safari iliyofanywa jana Ijumaa na Rais bashar Assad wa Syria nchini Imarati.
-
Kwa nini Ansarullah imekataa kushiriki katika kikao cha Riyadh?
Mar 18, 2022 23:22Harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah imetaa ombi la Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi la kwenda Riyadh na kufanya mazungumzo na Saudi Arabia.