-
Kamanda wa magaidi wa al Qaida aangamizwa Ma'rib nchini Yemen
Mar 18, 2022 23:17Vyombo mbalimbali vimetangaza habari ya kuangamizwa mmoja wa makamanda wa ngazi za juu wa genge la kigaidi la al Qaida katika mapigano na jeshi la Yemen, mkoani Ma'rib.
-
Bashar al-Assad: Magharibi imegeuza dunia kuwa msitu
Mar 18, 2022 11:28Rais Bashar al-Assad wa Syria amekosoa sera za nchi za Magharibi dhidi ya nchi yake na kusema: "Magharibi imeigeuza dunia kuwa msitu."
-
Sana'a yatoa masharti ili ikubali mwaliko wa PGCC wa kushiriki kikao cha Riyadh
Mar 17, 2022 19:15Waziri Mkuu wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen ametangaza kuwa ili Yemen ikubali mwaliko wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi wa kushiriki katika kikao huko Riyadh; awali ya yote muungano vamizi dhidi ya Yemen unapasa kuchukua hatua tatu.
-
Jinai ya Halabja; muelekeo wa Magharibi na uungaji mkono thabiti wa Iran kwa Wakurdi
Mar 17, 2022 18:50Jinai ya Halabja ni moja ya matukio yaliyodhihirisha wazi kwamba kinyume na Magharibi, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku zote ni muungaji mkono thabiti wa raia Wakurdi wa Iraq.
-
HRW yaitaka Saudi Arabia iwaachilie huru Wamisri 10 inaowashikilia
Mar 17, 2022 07:24Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Human Rights Watch limeutaka ukoo wa Aal Saud unaotawala kiimla nchini Saudi Arabia uwaachilie huru Wamisri 10 inaowashikilia.
-
HAMAS na Jihadul-Islami zawatolea mwito Wapalestina wa kushadidisha muqawama
Mar 17, 2022 07:18Viongozi wa harakati za muqawama wa Kiislamu za Palestina za Jihadul-Islami na Hamas wametaka kushadidishwa muqawama dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Rais wa Iraq: Jinai ya Halabja ni dhihirisho la mateso waliyopata Wakurdi na watu wote wa Iraq
Mar 17, 2022 07:16Rais Barham Salih wa Iraq amezungumza kwa mnasaba wa kumbukumbu ya jinai ya silaha za kemikali ya Halabja na kusisitiza kuwa, jinai hiyo ni dhihirisho la mateso waliyopata Wakurdi na watu wote wa Iraq.
-
Wapalestina wamkumbuka Rachel Corrie, nembo ya mapambano dhidi ya Israel
Mar 17, 2022 05:25Wapalestina wanaadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya mwanaharakati na mwanamapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel, Rachel Corrie, aliyeuawa na wanajeshi wa utawala huo ghasibu, kwa kufanya matamasha ya aina mbalimbali na matukio ya michezo.
-
Guterres: Watoto wasiopungua elfu kumi wameuawa katika vita vya Yemen
Mar 17, 2022 05:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema katika mkutano wa video kuhusu uchangishaji fedha kwa ajili ya Yemen kwamba takriban watoto 10,000 wameuawa katika vita vya Yemen.
-
Rais wa zamani wa Tunisia awaonya viongozi wa Saudia kwa kuua umati wa watu
Mar 16, 2022 22:50Rais wa zamani wa Tunisia amewaonya viongozi wa Saudi Arabia kwa hatua yao ya kutekeleza adhabu ya kifo kwa watu 81 kwa siku moja na kuwaambia wajiandae kwa madhara ya hatua yao hiyo.