-
UN: Hali ya kibinadamu Yemen ni mbaya; asilimia 75 ya wananchi hawana chakula
Mar 16, 2022 09:57Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa asilimia 75 ya wananchi wa Yemen wanaishi katika umaskini wa chakula.
-
HAMAS: Hali ya utawala wa Kizayuni wa Israel ni mbaya na tete
Mar 16, 2022 04:04Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unakabiliwa na hali mbaya kutokana na kupata nguvu zaidi mhimili wa muqawama.
-
Mbunge wa Iraq: Serikali inapaswa kuwajibika kwa kuwepo Wazayuni mjini Arbil eneo la Kurdistan
Mar 15, 2022 21:06Mbunge wa Iraq Ahmad al Musawi amesema, hakuna shaka yoyote kuhusu kuwepo kwa Wazayuni katika mji wa Arbil wa eneo la Kurdistan la nchi hiyo; na kwa sababu hiyo Waziri Mkuu Mustafa al Kadhimi lazima awajibike kwa kuwepo shirika la ujasusi la Israel Mossad katika mji huo.
-
Machi 14, 2022; mwaka wa 11 wa uvamizi wa kijeshi wa Saudia huko Bahrain
Mar 15, 2022 21:05Mnamo Machi 14, 2011, Saudi Arabia iliivamia rasmi Bahrain chini ya kivuli cha Ngao ya Kisiwa, uvamizi ambao sasa umeingia katika mwake wake wa 11.
-
Utawala wa Kizayuni unapanga kubomoa na kuzifunga skuli tisa za Wapalestina katika mji wa al Khalil
Mar 15, 2022 10:07Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unapanga kubomoa na kuzifunga skuli tisa za Wapalestina kusini mwa mji wa al Khalil katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Unyongaji wa umati; jinai maalumu ya ukoo wa Aal Saud
Mar 15, 2022 07:24Ikiwa ni katika kuendeleza jinai dhidi ya watu wa Saudi Arabia, utawala wa nchi hiyo umechukua hatua isiyo ya kawaida ya kunyonga kwa umati watu 81 katika siku moja.
-
UN: Kiwango cha njaa nchini Yemen kuongezeka mara tano mwaka huu
Mar 15, 2022 04:45Umoja wa Mataifa unatabiri kuwa kiwango cha njaa kali nchini Yemen kitaongezeka mara tano katika mwaka huu 2022 kutokana na kuzorota kwa hali ya kibinadamu nchini Yemen.
-
Tovuti za utawala wa Israel zashambuliwa katika hujuma kubwa ya aina yake
Mar 14, 2022 23:53Waziri wa Mawasiliano wa Israel, Yoaz Hendel, amekiri kuwa hitilafu iliyoathiri tovuti kadhaa rasmi ni matokeo ya shambulio la mtandao lililofanywa na wadukuzi, ambalo lililenga tovuti za serikali.
-
Kukosoa Iran ukiukaji wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia
Mar 14, 2022 23:08Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, unyongaji kiholela na vitendo vya ukandamizaji vinavyofanywa na utawala wa Aal Saud siyo njia ya utatuzi wa migogoro ya kujitengezea na kwamba, utawala huo hauwezi kutumia mambo mbalimbali kwa ajili ya kufunika mparaganyiko, matatizo ya kisiasa, kimahakama na ukandamizaji dhidi ya raia.
-
Mamluki 500 wa muungano vamizi wauawa na kujeruhiwa kaskazini mwa Yemen
Mar 14, 2022 23:08Zaidi ya mamluki 500 raia wa Saudia na Sudan wameangamizwa na kujeruhiwa katika opereseheni ya jeshi na kamati za ukombozi za wananchi wa Yemen katika mkoa wa Hajjah, wa kaskazini mwa nchi hiyo.