-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Katu hatutafanya mapatano na Israel
Jul 10, 2021 06:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuunga mkono haki za kisheria za Palestina na katu haitafanya mapatano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kikao cha Tehran na mustakbali wa Afghanistan
Jul 10, 2021 05:42Kikao cha makundi ya Kiafghani ambacho kimefanyika hapa Tehran siku za Jumatano na Alhamisi kikihudhuriwa na wawakilishi wa serikali ya Afghanistan, shakhsia na ujumbe wa kisiasa wa ngazi ya juu wa kundi la Taliban chini ya uwenyeji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kilimaliza shughuli zake kwa kutolewa taarifa yenye vipengee sita.
-
Umoja wa Mataifa waitaka Israel iache kubomoa nyumba za Wapalestina
Jul 10, 2021 03:09Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawala ghasibu wa Israel usitishe hatua zake za kubomoa nyumba na makazi ya wananchi wa Palestina
-
Joe Biden: Wanajeshi wote wa Marekani kuondoka Afghanistan ifikapo Agosti 31
Jul 10, 2021 03:01Serikali ya Marekani imetangaza kuwa, zoezi la kuwaondoa wanajeshi wake walioko nchini Afghanistan linatarajiwa kumaliza ifikapo tarehe 31 ya mwezi ujao wa Agosti.
-
Matunda ya kuonyesha muqawama; kuachiwa huru mateka Mpalestina baada ya kususia kula kwa siku 65
Jul 09, 2021 21:58Mateka Mpalestina, aliyesusia kula kwa muda wa siku 65 akilalamikia kurefushwa hukumu haramu ya kuwekwa kizuizini kiidara iliyotolewa na utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel dhidi yake, hatimaye ameachiliwa huru.
-
Ansarullah: Wavamizi wamepata kipigo kikali katika mkoa wa al Bayda' Yemen
Jul 09, 2021 08:17Msemaji wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Yemen maarufu kwa jina la Ansarullah amesema kuwa, askari wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia wamepata kipigo kikali katika mkoa wa al Bayda' kutoka kwa jeshi la Yemen na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa nchi hiyo.
-
Mfalme wa Jordan aonana na waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni
Jul 09, 2021 08:08Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, mfalme wa Jordan ameonana na waziri mkuu wa Israel katika mji mkuu Amman.
-
Kataib Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi askari wa mwisho wa Marekani atakapoondoka Iraq
Jul 09, 2021 03:35Afisa wa Batalioni ya Kataib Hizbullah nchini Iraq amesema kuwa mapambano dhidi ya wanajeshi wa Marekani walioko nchini humo yataendelea hadi wanajeshi wote wa nchi hiyo watakapoondoka katika ardhi ya Iraq.
-
Algeria: Hakuna amani bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina
Jul 09, 2021 02:29Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria amesema kuwa taifa la Palestina linataka amani na kwamba jambo hilo halitatimia bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Hizbullah ilishirikiana kiintelijensia na muqawama wa Palestina katika vita vya siku 12 Gaza
Jul 08, 2021 23:11Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ametangaza hadharani kuwa, harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu ilikuwa na mashirikiano ya karibu ya kiintelijensia na wanamuqawama wa Palestina wakati wa mapambano ya "Upanga wa Quds" dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.