-
OCHA yatoa indhari: Idhini ya UN ya ufikishaji misaada ikisitishwa maisha ya Wasyria yatakuwa hatarini
Jul 08, 2021 23:10Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya uratibu wa misaada ya kibinadamu, OCHA, imetahadharisha kuwa ifikapo tarehe 10 mwezi huu wa Julai, endapo muda wa idhini ya Baraza la Usalama la UN ya kufikisha misaada ya kibinadamu kwa wananchi wa Syria hautarefushwa, mateso ya raia hao yataongezeka kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka 10 ya mgogoro wa nchi hiyo.
-
Safari ya Naibu Waziri wa Ulinzi wa Saudia Marekani na kubadilika msimamo wa serikali ya Biden kuhusu Riyadh
Jul 08, 2021 23:10Akiwa katika siku ya pili ya safari yake nchini Marekani, Khalid bin Salman, Naibu Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia siku ya Jumatano alionana na kuzungumza huko Washington na Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, miongoni mwa viongozi wengine wa nchi hiyo.
-
Ubalozi wa Marekani Baghadad washambuliwa tena kwa maroketi
Jul 08, 2021 06:28Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, umeshambuliwa tena kwa maroketi mapema leo Alhamisi.
-
Iran yamuomboleza mwanamapambano wa Palestina, Ahmed Jibril
Jul 08, 2021 06:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia mwanamapmbano maarufu wa Palestina, Ahmed Jibril.
-
Sergei Lavrov: Kuondoka Marekani nchini Afghanistan ni kukiri kushindwa
Jul 08, 2021 03:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa, kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan kimsingi ni kukiri wazi kugonga mwamba majukumu yake katika nchi hiyo.
-
Kataib Hizbullah: Saudia inahusika na hujuma zinazolenga mtandao wa umeme wa Iraq
Jul 07, 2021 23:50Harakati ya Kataib Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa mashirika ya ujasusi ya Saudi Arabia yanahusika na mashambulio ya kigaidi yanayolenga na kuharibu mtandao wa kusambaza umeme nchini humo.
-
Zaidi ya wasomi, wanafikra 600 wa kimataifa wataka kuvunjwa utawala wa kibaguzi katika Palestina ya kihistoria
Jul 07, 2021 23:49Idadi kubwa ya wasomi, wasanii na wanafikra kutoka nchi nyingi duniani wametoa wito wa kuvunjwa mfumo wa ubaguzi wa rangi ulioanzishwa katika ardhi za Palestina ya kihistoria, na kuanzishwa mfumo wa utawala wa kidemokrasia ambao utatoa haki na majukumu sawa kwa wakazi wote wa nchi hiyo bila ubaguzi wowote kwa misingi ya rangi, mbari, dini au jinsia.
-
Unicef yatahadharisha kuhusu athari mbaya za vita kwa sekta ya elimu, Yemen
Jul 07, 2021 23:49Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limeashiria mgogoro wa binadamu unaoshuhudiwa sasa nchini Yemen kutokana na mashambulizi ya kinyama yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa hilo na kutahadharisha kwamba, kuvurugwa kwa mfumo wa elimu kwa watoto wa Yemen kumeharibu mustakbali wao.
-
Yemen: Marekani ndiyo inayoongoza moja kwa moja mashambulizi ya wavamizi
Jul 07, 2021 07:49Kaimu Mkuu wa Majeshi ya Yemen amesema kuwa, wanajeshi wa Marekani ndio wanaoongoza vita vinavyoendelea hivi sasa katika mkoa wa al Bayda' wakishirikiana na magaidi wa al Qaida, Daesh (ISIS) na Jabhat al Nusra.
-
Mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu duru mpya ya vita vya Marekani dhidi ya muqawama kupitia vyombo vya habari
Jul 07, 2021 06:40Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Jumatatu alitoa hotuba akiashiria hatua ya Marekani kuteka na kufunga tovuti za habari zinazofungamana na harakati za muqawama au mapamabano ya Kiislamu ambapo ametoa sababu kadha za uhasama huo wa Marekani.