-
Harakati ya Nujabaa: Kuendelea kuwepo kijeshi Marekani ndio hatari kubwa zaidi kwa Iraq
Apr 15, 2021 08:32Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Nujabaa nchini Iraq amesisitiza kuwa, kuendelea kuwepo kijeshi Marekani, ndio hatari kubwa zaidi inayotishia usalama wa Iraq.
-
Mufti wa Quds ataka kuchukuliwa hatua za kukabiliana na hujuma dhidi ya Masjdul-Aqswa
Apr 15, 2021 03:49Mufti wa Quds na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amewataka viongozi wa mataifa ya Kiarabu, ya Kiislamu na wananchi wa mataifa hayo kuchukua hatua za haraka za kusitisha hujuma za utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa.
-
Baraza la Usalama latakiwa kuwalaani watenda jinai badala ya kuwashukuru
Apr 15, 2021 03:47Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amelikosoa vikali Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, baraza hilo badala ya kuwashukuru magaidi wanaolitendea jinai taifa la Yemen linapaswa kuwalaani.
-
Wapalestina wakasirishwa na kitendo chha Wazayuni cha kuzuia adhana kwa kutumia vipaza sauti
Apr 14, 2021 06:59Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimelaani vikali hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukata nyaya za vipaza sauti katika Msikiti wa al-Aqswa na kuzuia kuadhiniwa kwa kutumia vipaza sauti.
-
Msafara wa wanajeshi vamizi wa Marekani washambuliwa kusini mwa Iraq
Apr 13, 2021 22:06Duru za habari za Iraq zimetangaza kuwa, msafara wa magari yaliyokuwa yamepakia vifaa mbalimbali na zana za kijeshi kwa ajili ya wanajeshi vamizi wa Marekani umeshambuliwa kusini mwa nchi hiyo.
-
Usafiri wa ndege katika baadhi ya viwanja vya Saudia wasitishwa kwa muda baada ya kushambuliwa na droni za Yemen
Apr 13, 2021 06:59Usafiri wa ndege katika baadhi ya viwanja vya ndege nchini Saudi Arabia umesitishwa kwa masaa kadhaa kufuatia mashambulizi ya droni za jeshi la Yemen.
-
Waungaji mkono wa nje wa Hariri ndio chanzo cha kushindwa kwake kuunda serikali ya Lebanon
Apr 12, 2021 22:22Licha ya kupita miezi 6 tokea bunge la Lebanon limpigie kura ya kuwa na imani naye, Saad Hariri ameshindwa kuunda serikali mpya na kwa sasa masuala ya nchi hiyo yanasimamiwa na serikali ya muda inayoongozwa na Hassan Diab.
-
Kuhani Mzayuni: Hali ya Mayahudi wanaoishi Saudi Arabia imebadilika na kuboreka
Apr 12, 2021 22:22Kuhani mmoja Mzayuni ambaye anaendesha harakati nyingi nchini Saudi Arabia amesema, wakazi wa nchi hiyo wana maoni tofauti kuhusu utawala wa Kizayuni wa Israel; na kwa sababu ya suala la Palestina, wanautazama utawala huo kama adui yao, lakini hali imebadilika kidogo katika miaka ya karibuni.
-
Khalid Mash'al achaguliwa kuwa kiongozi wa HAMAS nje ya Palestina
Apr 12, 2021 22:22Duru zenye mfungamano na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, Khalid Mash'al amechaguliwa kuwa kiongozi wa harakati hiyo nje ya Palestina.
-
Russia yasisitiza udharura wa Syria kurejeshewa uanachama wake katika Arab League
Apr 12, 2021 22:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza udharura wa Syria kurejeshewa uanachama wake katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.