-
Mwaka wa kumi wa uwepo wa kijeshi wa Saudi Arabia nchini Bahrain
Mar 08, 2021 23:14Mwezi mmoja tu baada ya kuanza mapambano ya watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa kidekiteta wa nchi hiyo, Saudi Arabia iliamua kutuma nchini humo wanajeshi wake kwa lengo la kukandamiza maandamano ya Wabahrain.
-
Iraq kukamilisha ripoti kuhusu askari wa jeshi la kigaidi la Marekani kuondoka nchini humo
Mar 08, 2021 04:35Mjumbe wa kamati ya usalama na ulinzi ya Bunge la Iraq amesema, imeundwa kamati maalum ya kuandaa ripoti rasmi kuhusu kuondoka kikamilifu askari wa Marekani katika ardhi ya nchi hiyo na kuhitimishwa mvutano juu ya kadhia hiyo.
-
Saudia: Aramco na bandari ya mafuta ya Ras Tanura zimeshambuliwa kwa makombora ya Ansarullah
Mar 08, 2021 04:12Wizara ya Ulinzi ya Saudi Arabia imethibitisha kuwa vikosi vya ulinzi vya Yemen vimefanya mashambulio makubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani ndani ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Papa Francis: Udugu una nguvu zaidi kuliko mauaji na suluhu ina nguvu zaidi kuliko vita
Mar 07, 2021 10:28Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amesema udugu una nguvu zaidi kuliko mauaji na suluhu ina nguvu zaidi kuliko vita.
-
Askari wa Kizayuni wawaua shahidi Wapalestina watatu katika Ukanda wa Gaza
Mar 07, 2021 10:26Askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi wavuvi watatu Wapalestina baada ya kuifyatulia kombora boti yao ya uvuvi.
-
Kwa nini Papa Francis amefanya safari nchini Iraq?
Mar 07, 2021 08:33Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani jana alikutana na kufanya mazungumzo mjini Najaf Iraq na Ayatullah Sayyid Ali Sistani Marjaa mkubwa wa Kishia nchini humo.
-
Oxfam yatahadharisha juu ya siasa za Uingereza kuhusu Yemen
Mar 07, 2021 04:48Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limekosoa uamuzi wa serikali ya Uingereza wa kupunguza misaada yake ya kibinadamu kwa raia wa Yemen huku ikizidisha misaada yake ya kijeshi kwa utawala wa Saudi Arabia unaoendela kuwaua kinyama raia hao wasio na hatia.
-
Ayatullah Sistani na Papa Francis wakutana mjini Najaf
Mar 07, 2021 01:14Kiongozi na Marjaa wa Waisalmu wa Madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amekutana na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
-
Hizbullah ya Lebanon yamshukuru Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Mar 06, 2021 09:10Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amemtumia ujumbe Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei akimshukuru kwa kuwa kwake muda wote na wananchi wa Lebanon na kwa hatua yake ya kutoa mkono wa pole kufuatia kufariki dunia Sheikh Ahmad al Zin, mwanachuoni mkubwa wa wa Kisuni wa Lebanon.
-
Safari ya Papa Francis nchini Iraq, wito wa kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti
Mar 06, 2021 07:30Katika miaka ya karibuni nchi ya Iraq imekuwa uwanja wa mashambulio na harakkati ya makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la Daesh ambalo limesababisha madhara makubwa kwa nafsi na mali za wananchi wote wa nchi hiyo, Waislamu na Wakristo.