-
Ansarullah: UN haina ujasiri wa kulaani mzingiro wa Saudia na washirika wake dhidi ya Yemen
Feb 25, 2021 06:53Msemaji wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesisitiza ulazima wa kudumishwa mapambano ya kukabiliana na wavamizi wa nchi hiyo na kusema kuwa, Umoja wa Mataifa hauna hata ujasiri wa kulaani mzingiro wa Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen.
-
Maulamaa wa Muqawama: Ushindi katika kuikomboa Quds hauna shaka
Feb 25, 2021 04:07Mkuu wa Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama amesisitiza kuwa, kwa kudumisha Waislamu umoja na mshikamano, mapamban ya kuuikomboa Baytul- Muqaddas yatapa ushindi.
-
Umoja wa Mataifa: Israel inapaswa kukomesha hatua zake za kubomoa nyumba za Wapalestina
Feb 25, 2021 04:04Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe hatua zake zilizoratibiwa na kubomoa nyumba za Wapalestina.
-
Oparesheni ya Maʼrib, mapambano muhimu katika vita vya Yemen
Feb 25, 2021 00:08Maʼrib ni eneo ambalo liko kaskazini mashariki mwa mji mkuu wa Yemen Sanaʽa na hivi sasa ni kitovu na medani kubwa ya mapigano biana ya wanajeshi wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudia na Serikali ya Uwokozi wa Kitaifa ya Yemen
-
Rushwa ya chanjo ya Corona ya kwa mataifa ili yahamishie balozi Baytul-Muqaddas
Feb 24, 2021 08:30Imefichuliwa kuwa, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amekuwa akitoa kwa masharti chanjo ya Corona kwa mataifa ya dunia akiyataka yahamishie balozi zao kutoka Tel Aviv na kuzipeleka Baytul-Muqaddas.
-
HAMAS: Quds ni mji mkuu wa milele wa Palestina
Feb 23, 2021 23:12Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesisitiza kuwa, siasa za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuiyahudisha Quds zimeshindwa na kugonga mwamba na kwamba, Quds utabakia kuwa mji mkuu wa milele wa Palestina.
-
Jumuiya ya Maulamaa Iraq: Mossad inaongoza kambi za magaidi wa Daesh huko Syria
Feb 23, 2021 23:12Mkuu wa Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu katika mkoa wa Diyala huko Iraq amesema kuwa shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) linasimamia kambi mbalimbali za magaidi wa kundi la ukufurishaji la Daesh huko Syria.
-
Israel yawakamata viongozi kadhaa wa HAMAS na mateka Wapalestina walioachiwa huru
Feb 23, 2021 03:11Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umewatia nguvuni viongozi kadhaa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika maeneo ya Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na Baitul Muqaddas pamoja na mateka Wapalestina waliochiwa huru.
-
Oxfam: Silaha za Uingereza zinazouzwa Saudia zinarefusha vita nchini Yemen
Feb 22, 2021 23:19Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limetangaza kuwa, uuzaji wa silaha za Uingereza kwa utawala wa Saudi Arabia unarefusha vita vya muungano unaoongozwa na serikali ya Riyadh dhidi ya taifa la Yemen.
-
Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu: Sehemu kubwa ya Madaesh wa kujiripua wameingia Iraq kutokea Syria
Feb 22, 2021 23:14Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu katika mkoa wa Diyala nchini Iraq amesema kuwa, sehemu kubwa ya magaidi wa Daesh (ISIS) wa kujiripua kwa mabomu wameingia nchini Iraq wakitokea Syria.