-
Silaha za NATO zakamatwa katika makao ya Daesh Homs, nchini Syria
Feb 18, 2021 04:46Jeshi la Syria limegundua ghala la silaha ziliundwa na Shirila la Kujihami la Nchi za Magharibi (NATO) katika mji wa Homs baada ya kuua magaidi kadhaa wa kundi la Daesh katika eneo hilo.
-
Ansarullah: Wito wa Biden wa kusitishwa vita Yemen si wa kweli
Feb 18, 2021 03:05Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amejibu uvumi unaosambazwa kwamba Marekani inafanya juhudi za kusimamisha mashambulizi dhidi ya Yemen akisema serikali ya Washington ndiyo kinara na kamanda wa mashambulizi yanayofanywa dhidi ya Yemen na sababu kuu ya masaibu ya taifa la nchi hiyo.
-
Nukta kadhaa za kuzingatiwa katika shambulio la makombora la Arbil, Iraq
Feb 17, 2021 23:06Shambulio la makombora lililofanyika Jumatatu usiku karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Arbil huko Iraq lilipelekea mtu mmoja kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa.
-
Nasrallah aionya Israel: "Acheni kucheza na moto"
Feb 17, 2021 04:23Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka kutocheza na moto huku akisisitiza kuwa hujuma yoyote ile ya Israel dhidi ya Lebanon itakabiliwa na jibu kali kutoka kwa Hizbullah.
-
Wapalestina Walaani Israel kwa kuzuia chanjo ya Corona kufikishwa Ghaza
Feb 16, 2021 22:56Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imelaani kitendo cha utawala haramu wa Israel kuzuia dozi 2,000 za chanjo ya Corona kuwafikia wafanyakazi wa sekta ya afya katika Ukanda wa Ghaza.
-
HAMAS yalaani njama ya kuasisi jumuiya ya jamii za Mayahudi katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Feb 16, 2021 09:09Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani mpango wa kuasisi jumuiya ya jamii za Mayahudi katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.
-
Lebanon katika mzingo wa hitilafu; mkwamo wa kuunda Serikali unaendelea
Feb 16, 2021 05:29Licha ya kupita miezi minne tangu Saad Hariri kupewa jukumu la kuunda serikali nchini Lebanon, lakini Waziri Mkuu huyo hadi hivi sasa ameshindwa kuunda Baraza la Mawaziri kutokana na hitilafu na mivutano mingi iliyomo nchini humo.
-
Yemen yashambulia kwa droni viwanja vya ndege vya Jeddah na Abha huko Saudia
Feb 15, 2021 23:13Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limezishambulia ngome kadhaa za utawala wa Aal Saud na viwanja vya ndege vya kimataifa vya Jeddah na Abha nchini Saudi Arabia.
-
Iraq yaitahadharisha Uturuki kuhusu mashambulizi dhidi ya Sinjar
Feb 15, 2021 23:11Msemaji wa kikosi cha oparesheni za pamoja cha Iraq ameitahadharisha Uturuki kuhusu oparesheni ya jeshi katika eneo la Sinjar mkoani Nainawa huko Iraq na kueleza kuwa, Baghdad itachukua hatua zote za lazima iwapo itakabiliwa na shambulizi au uvamizi wowote wa nchi ajinabi.
-
Hamas, Jihad al Islami zaishukuru Algeria kwa msimamo wake dhidi ya Wazayuni
Feb 15, 2021 04:23Harakati za Palestina za Hamas na Jihadul Islami zimeishukuru Algeria kwa hatua yake ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Mabunge ya Kimataifa ya Mediterenia kupinga kushiriki ujumbe wa utawala wa Kizayuni katika kikao hicho.