-
Yemen: Kujibu jinai tunazofanyiwa na wavamizi ni haki yetu ya kisheria
Feb 15, 2021 04:22Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesisitiza kuwa, nchi yetu sasa hivi imo vitani, inashambuliwa kila uchao, hivyo ni haki ya kawaida kabisa kwa wananchi wa Yemen kujibu mashambulizi wanayofanyiwa.
-
Palestina yataka kuharakishwa kufuatiliwa jinai za kivita za Israel
Feb 15, 2021 04:21Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina jana usiku ilitoa tamko na kutaka kuharakishwa kufuatiliwa jinai za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Mwaka wa 10 wa Mapambano ya Februari 14 na hotuba ya Sheikh Issa Qassem inayobainisha hali ya Bahrain
Feb 14, 2021 21:54Ayatullah Sheikh Issa Qassem, kiongozi wa kimaanawi wa mapambano ya wananchi wa Bahrain, Jumamosi tarehe 13 Februari alitoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 10 wa mapambano ya watu wa nchi hiyo dhidi ya utawala wa Aal Khalifa.
-
Israel imebomoa majengo 178 ya Wapalestina mwaka huu wa 2021
Feb 14, 2021 09:14Jeshi la utawala haramu wa Israel limebomoa majengo 178 ya Wapalestina katika eneo unalolikalia kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi katika mwaka huu wa 2021.
-
Sheikh Isa Qassim: Ukandamizaji hautawanyamazisha Wabahrain
Feb 14, 2021 04:23Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amesema jitihada za taifa hilo la Kiarabu katu hazitazimwa na dhulma na ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya usalama vya utawala wa kiukoo unaoingoza nchi hiyo kwa mkono wa chuma.
-
Bin Salman afuja mabilioni ya dola kwa ajili ya anasa huku wananchi wa Saudia wakiteseka kwa umasikini
Feb 14, 2021 03:39Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ametumia dola bilioni 1.18 katika kipindi cha miaka miwili kwa ajili ya anasa na starehe.
-
Bunge la Uingereza laikosoa serikali kwa kunyamazia ukiukaji wa haki za binadamu Bahrain
Feb 13, 2021 08:31Wawakilishi wa Bunge la Uingereza wameikosoa serikali ya nchi hiyo kwa kile walichokitaja kuwa, kimya chake mbele ya ukiukaji wa haki za binadamu unaoendelea kufanywa nchini Bahrain.
-
Viashiria vya kuingia vita vya Yemen katika marhala mpya
Feb 13, 2021 08:18Inaonekana kuwa vita vilivyoanzishwa na muungano vamizi huko Yemen chini ya uongozi wa Saudi Arabia vimengia katika marhala mpya.
-
Jeshi la Afghanistan laua wanachama 153 wa Taliban
Feb 13, 2021 07:40Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limewaua wanachama zaidi ya 150 wa kundi la Taliban katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Oman: Hatuna haraka ya kupanua uhusiano wetu na Israel
Feb 12, 2021 23:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesema, nchi yake haina haraka ya kupanua uhusiano wake na Israel na wala haikusudii kuchukua hatua ya kufanya hivyo kwa sasa.