-
Ulimwengu waitaka Israel isimamishe mara moja ujenzi wa vitongoji vipya
Nov 17, 2020 09:05Mpango wa utawala haramu wa Isreal wa kujenga nyumba mpya zaidi ya 1,200 katika ardhi za Wapalestina unazozikalia kwa mabavu, umeamsha tena hasira ya jamii ya kimataifa ambapo Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League, imeutaja mpango huo kuwa hatari kubwa inayopasa kushughulikiwa haraka.
-
Uamuzi wa Trump wa kuitaja Ansarullah ya Yemen kuwa kundi la kigaidi
Nov 17, 2020 08:49Kinyume na maoni ya mashirika ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu, Rais Donald Trump wa Marekani ameazimia kuliweka kundi la Kiislamu la Ansarullah ya Yemen katika orodha ya nchi hiyo ya makundi ya kigaidi.
-
Wizara ya Afya Yemen: Umoja wa Mataifa ni mshirika wa muungano vamizi wa Saudia katika kuwaua watoto wa Yemen
Nov 17, 2020 04:40Msemaji wa Wizara ya Afya ya Yemen amesema kuwa uungaji mkono wa Umoja wa Mataifa kwa muungano vamizi huko Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia unasababisha kuongezeka vifo vya wagonjwa na watoto wa Kiyemeni.
-
Tangazo la biashara la shirika la ndege la UAE lapotosha jina la Msikiti wa Al Aqsa
Nov 17, 2020 02:07Shirika la ndege la taifa la Umoja wa Falme za Kiarabu limepotosha jina la msikiti wa Al Aqsa katika filamu ya tangazo la biashara lililotoa kutangaza safari zake kuelekea ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina zilizopewa jina la Israel.
-
Tuhuma za kutumika ardhi ya Afghanistan katika kushambuliwa nchi nyingine zakanushwa
Nov 17, 2020 00:22Serikali ya Afghanistan imekanusha tuhuma za kutumika ardhi ya nchi hiyo kufanya mashambulizi dhidi ya nchi nyingine.
-
UN yalaani uamuzi wa Israel wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Nov 17, 2020 00:21Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Asia Magharibi ameushutumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa uamuzi wake wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina ya Quds Mashariki.
-
Umoja wa Ulaya wapinga ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi huko Palestina
Nov 16, 2020 07:35Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa taarifa akipinga vikali ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zilizobandikwa jina la Israel.
-
Palestina: Utawala wa Kizayuni haujasitisha sera ya umegaji ardhi na ujenzi wa vitongoji
Nov 16, 2020 04:08Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel haujasitisha hata kwa lahadha ndogo sera yake ya umegaji ardhi, ujenzi wa vitongoji na kuwahamishia walowezi wa Kizayuni katika ardhi ya Palestina.
-
Msafara mkubwa wa kijeshi wa Marekani waingia Iraq ukitokea Syria
Nov 16, 2020 03:46Msafara wa kijeshi wa askari wa Marekani unaojumuisha makumi ya magari ya deraya na vifaru umeingia ndani ya ardhi ya Iraq ukitokea nchi jirani ya Syria.
-
Yemen; maabara ya silaha zilizopigwa marufuku za Magharibi
Nov 16, 2020 03:32Abdul-Qadir Antar, mshauri wa Waziri Mkuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, nchi hiyo imegeuzwa kuwa maabara na mahapa pa kujaribia silaha zilizopigwa marufuku za Magharibi.