-
Ndege za kivita za Israel zashambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza
Nov 15, 2020 08:30Ndege za kivita za utawala haramu wa Israel zimeshambulia ngome za Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Gaza mapema leo Jumapili.
-
Mbunge wa Iraq: Muswada wa kutimuliwa wanajeshi wa Marekani, utekelezwe haraka
Nov 15, 2020 04:37Mjumbe mmoja wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq amesisitiza kwamba, hakutakuwa na tofauti yoyote kubadilishwa sura ya rais wa Marekani, lililo muhimu kwa Iraq ni kutekelezwa muswada uliopasishwa na bunge la nchi hiyo wa kutimuliwa wanajeshi wa Marekani nchini Iraq.
-
Iraq yasisitiza tena msimamo wake wa kupinga kuanzisha mapatano na utawala haramu wa Israel
Nov 14, 2020 08:42Msemaji wa Waziri Mkuu wa Iraq kwa mara nyingine tena amesisitia msimamo wa hapo awali wa nchi hiyo wa kupinga kuanzisha mapatano na utawala haramu wa Israel
-
Mamluki wa Saudia, Imarati wazidi kutwangana, Answarullah yashambulia mkutano wa makamanda Yemen
Nov 13, 2020 23:03Mapigano makali baina ya mamluki wa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) yamepambana moto kusini mwa Yemen.
-
Saudia yairubuni Niger ianzishe uhusiano wa kawaida na Wazayuni
Nov 13, 2020 23:03Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kwamba sasa hivi kunafanyika mazungumzo ya siri baina ya utawala huo ghasibu na nchi ya Kiafrika ya Niger kwa ajili ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya pande mbili huku Saudi Arabia ikiwa mstari wa mbele kuwarubuni viongozi wa Niamey wakubali kuanzisha uhusiano huo.
-
Mihimili minne ya hotuba ya Sayyid Hassan Nusrullah kwa mnasaba wa Siku ya Mashahidi
Nov 13, 2020 23:02Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon alizungumza Jumatano usiku kwa mnsaba wa Siku ya Mashahidi ambapo hotuba hiyo inaweza kuchambuliwa kwa mitazamo minne mikuu.
-
Katika hatua ambayo haijawahi kushuhudiwa, Pompeo kutembelea vitongoji vya walowezi
Nov 13, 2020 03:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amepanga kutembelea vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kuhalalisha jinai za utawala huo haramu.
-
Jeshi la Afghanistan laikosoa Marekani kwa kutotoa ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugaidi
Nov 13, 2020 02:33Mkuu wa vikosi vya jeshi la Afghanistan amesema kuwa Marekani haitoa ushirikiano wowote kwa jeshi hilo katika mapambano dhidi ya kundi la Taliban na magenge ya magaidi.
-
Afisa wa Hizbullah: Mfumo wa uchaguzi wa Marekani uko mbali sana na demokrasia
Nov 12, 2020 22:07Afisa wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa mfumo wa uchaguzi wa Marekani umejitenga kwa masafa marefu sana na viwango vinavyokubalika vya demokrasia.
-
Imarati na Israel zashirikiana kurejesha magaidi kusini mwa Syria
Nov 12, 2020 22:06Vyombo vya usalama vimefichua kwamba, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umetuma ujumbe wa taasisi za upelelezi na ujasusi huko Israel kwa ajili ya kuchunguza mpango wa kurejesha makundi ya kigaidi katika miji ya kusini mwa Syria inayopakana na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni za Palestina.