-
Arab League yataka kuokolewa mateka wa Kipalestina katika jela za Israel
Nov 12, 2020 04:03Kufuatia kufa shahidi mateka Mpalestina Kamal Abu Waar akiwa katika jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel, Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetoa mwito wa kuchukiliwa hatua za dharura za kuwanusuru mateka wengine wa Kipalestina wanaozuiliwa katika mazingira ya kuogofya katika jela na korokoro hizo za Wazayuni.
-
Nasrullah: Utawala wa Trump ndio mbaya zaidi katika historia ya Marekani
Nov 12, 2020 03:57Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump ndiyo serikali mbaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.
-
Huduma kubwa ya Trump kwa Wazayuni; kuongezeka mara mbili na nusu ujenzi haramu wa vitongoji katika kipindi cha miaka minne
Nov 12, 2020 03:56Kundi linalojulikana kwa jina la "Amani Sasa" lililoko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina la Israel limetangaza kuwa, ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka minne ya urais wa Donald Trump nchini Marekani umeongezeka mara mbili na nusu.
-
UN yatoa ripoti kuhusu jinai za muungano wa Saudia nchini Yemen
Nov 11, 2020 23:05Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa imetoa ripoti ya jinai kubwa za muungano vamizi wa Saudi Arabia huko Yemen na kutangaza habari ya kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya raia 1,500 katika mashambulio yao ya kikatili huko Yemen.
-
Baraza la Maulamaa Wakuu wa Saudia laishambulia vikali Ikhwanul Muslimin ya Misri
Nov 11, 2020 11:33Baraza la Maulamaa Wakuu wa Saudi Arabia limeiita harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin ya Misri "kundi la kigaidi" na kudai kwamba fikra zote za kufurutu mpaka katika Uislamu zimetokana na harakati hiyo.
-
Assad: Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi zinawazuia wakimbizi wasirudi Syria
Nov 11, 2020 11:16Rais Bashar al Assad wa Syria amesema Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi zinawazuia wakimbizi wa Syria wasirudi nchini kwao.
-
Indhari ya Wazayuni kuhusu kusambaratika uchumi wa Israel
Nov 11, 2020 04:47Naftali Bennett, kiongozi wa chama cha harakati ya mrengo wa kulia wenye kufurutu ada kinachojulikana kama chama cha The New Right amesema kuwa, katika hali ya hivi sasa Israel inaelekea upande hatari na wa kutisha na kwamba, imo mbioni kusambaratika kiuchumi.
-
Harakati za Palestina zalaani mateka Mpalestina kufia gerezani
Nov 11, 2020 04:16Makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina yametoa taarifa na kulaani kufa shahidi mateka Mpalestina Kamal Abu Waar akiwa katika jela ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema hilo ni thibitisho la namna utawala huo unavyowatendea unyama wafungwa.
-
Ujenzi haramu wa vitongoji Palestina umeongezeka maradufu katika utawala wa Trump
Nov 11, 2020 00:43Kundi liitwalo "Amani Sasa" lililoko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la Israel limetangaza kuwa, ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka minne ya urais wa Donald Trump nchini Marekani umeongezeka maradufu.
-
Saratani imekithiri Yemen kutokana na wavamizi kutumia silaha zilizopigwa marufuku
Nov 11, 2020 00:43Waziri wa Afya wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema, idadi ya watu wanaougua maradhi thakili ya saratani nchini humo imeongezeka kutokana na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia kutumia silaha zilizopigwa marufuku.