-
OIC yalaani bomoa bomoa ya nyumba za raia wa Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Nov 10, 2020 06:16Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa ikilaani uhalifu unaoendelea kufanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel wa kubomoa nyumba na taasisi za Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Amir wa Qatar asisitiza kuimarishwa uhusiano na Iran
Nov 10, 2020 01:11Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani ametaka kuimarishwa uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Putin wa Russia: Sasa ni wakati wa wakimbizi wa Syria kurejea nyumbani
Nov 10, 2020 01:07Mamilioni ya wakimbizi wa Syria ambao walilazimika kutoroka nchi yao kutokana na vita sasa wanapaswa kuwezeshwa kurejea nyumbani kuijenga nchi yao ambayo aghalabu ya maeneo yake sasa yanashuhudia amani.
-
Hamas: Serikali za Marekani daima huukingia kifua utawala haramu wa Israel.
Nov 09, 2020 04:52Mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa siasa za mambo ya nje za serikali zote zilizotawala Marekani daima zimekuwa zikiunga mkono na kuukingia kifua utawala haramu wa Israel
-
Makundi ya Kipalestina: Msimamo wa uhasama wa Marekani kuhusu Palestina haubadiliki
Nov 09, 2020 00:58Makundi ya Kipalestina yametangaza kuwa kuingia madarakani Joe Biden hakutabadili msimamo wa kiuhasama wa Marekani kuhusu kadhia ya Palestina.
-
Sheria mpya ya uchaguzi Iraq; namna ilivyotungwa na jinsi ilivyopokewa
Nov 08, 2020 23:02Sheria mpya ya uchaguzi ya Iraq imesainiwa na rais Barham Salih baada ya kupitishwa na bunge la nchi hiyo.
-
Baada ya kuzingirwa kila upande, wanajeshi wa Uturuki waondoka kwenye kambi nyingine nchini Syria
Nov 08, 2020 07:58Duru mbalimbali za habari zimetangaza kuwa, wanajeshi wa Uturuki wameondoka katika kambi nyingine ya viunga vya kusini mwa mji wa Idlib wa magharibi mwa Syria na kukimbilia katika maeneo mengine yanayodhibitiwa na waasi wa nchi hiyo.
-
Ismail Hania: Trump ameondoka, lakini Quds itasalia kuwepo daima
Nov 08, 2020 03:54Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria kuhusu kubwagwa Donald Trump katika uchaguzi wa urais wa Marekani na kusema kuwa, rais wa Marekani aliyetaka kuisambaratisha kadhia ya Quds ametokomea, lakini Baitul Muqaddas itaendelea kuwepo daima.
-
Malalamiko dhidi ya ukiukaji wa haki za binadamu Saudia yaongezeka, Loujain atajwa kuwa nembo ya mapambano ya wanake Saudia
Nov 08, 2020 03:54Kamati ya Wanawake wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa imewatahadharisha atawala wa Saudi Arabia kuhusu hali mbaya ya kiafya ya Loujain al-Hathloul, mwanaharakati wa kike wa Saudia anayeshikiliwa korokoroni na imetoa wito wa kuachiwa huru mara moja.
-
Sheria za Kiislamu zawekwa kando UAE baada ya kuanzishwa uhusiano na Israel
Nov 07, 2020 23:06Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), umetangaza mabadiliko makubwa ya sheria za Kiislamu zinazohusu mtu binafsi ikiwemo kuruhusu watu ambao hawajaoana kuishi pamoja kiunyumba, kulegeza mipaka ya utumiaji pombe na kuyatambua "mauaji ya kulinda heshima" kuwa ni kosa la jinai.