-
Mateka Mpalestina asitisha mgomo wa siku 103 wa kukataa kula baada ya mapatano
Nov 07, 2020 03:58Duru za habari zimedokeza kuwa, mateka maarufu Mplaestina amesitisha mgomo uliodumu siku 103 wa kukataa kula baada ya idara ya magereza katika utawala wa Kizayuni wa Israel kusalimu amri mbele ya irada yake.
-
Mansour Hadi atuhumiwa kuiba mafuta ya Yemen kwa msaada wa Saudia na Imarati
Nov 06, 2020 23:00Abdrabbuh Mansur Hadi rais aliyejiuzulu na kukimbilia Saudi Arabia wa Yemen na wanamgambo wenye mfungamano naye wanaiba na kuvusha mafuta ya Yemen akisaidiwa na muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia na Imarati.
-
Skyline International Foundation: Saudi Arabia iwaachia huru wafungwa wa kisiasa
Nov 06, 2020 23:00Shirika la kimataifa la Skyline International Foundation lenye makao yake makuu Stockholm nchini Sweden limeitaka jamii ya kimataifa kuishinikiza serikali ya Saudi Arabia ili iwaachie huru makumi ya wafungwa wa kisiasa.
-
Maher al Akhras, wafungwa wa Palestina na utawala wa Kizayuni
Nov 06, 2020 07:02Zaidi ya siku mia moja zimepita tokea Maher al Akhras, mfungwa wa Kipalestina aanze mgomo wa chakula katika mojawapo ya jela za utawala haramu wa Israel na sasa maisha yake yamo hatarini kutokana na hali ngumu anayoipitia na vile vile udhaifu wa mwili wake.
-
Licha ya baadhi ya nchi za Kiarabu kujikomba kwa Wazayuni, Israel inaendelea kupora ardhi za Wapalestina
Nov 06, 2020 02:46Mwandishi mmoja Mzayuni amefichua kuwa, mpango wa utawala wa Kizayuni wa kumega ardhi zaidi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaendelea kwa kasi kubwa licha ya nchi za Kiarabu za Imarati, Bahrain na Sudan kutangaza uhusiano wa kawaida na Israel.
-
Bomoa bomoa ya Wazayuni yawaacha Wapalestina 800 bila makazi
Nov 05, 2020 23:05Shirika moja la kiraia limeripoti kuwa, mamia ya wananchi wa Palestina wameachwa bila makazi kutokana na bomoa bomoa ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Sababu za kucheleweshwa kuundwa baraza jipya la mawaziri Lebanon
Nov 05, 2020 23:02Matarajio ya kuundwa baraza jipya la mawaziri nchini Lebanon yameambulia patupu baada ya zoezi hilo kuahirishwa. Ilitarajiwa kuwa, Waziri Mkuu wa Lebanon Saad Hariri angeunda baraza jipya la mawaziri katika siku chache zilizopita.
-
Baraza Kuu la UN laitaka Israel iondoke katika miinuko ya Golan ya Syria
Nov 05, 2020 09:32Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa wingi wa kura uamuzi wa kuutaka tena utawala haramu wa Israel uondoke katika miinuko ya Gonal ya Syria unayoikalia kwa mabavu.
-
Muungano wa Wafanyakazi Yemen: UN ni mshirika wa jinai za muungano vamizi wa Saudi huko Yemen
Nov 05, 2020 04:34Muungano wa Wafanyakazi wa Yemen umesema kuwa Umoja wa Mataifa ni mshirika wa jinai za muungano vamizi huko Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Bunge la Iraq kuanza kujadili mauaji ya kigaidi ya Luteni Qasem Soleimani
Nov 05, 2020 00:27Mjumbe mmoja wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq amesema kuwa, karibuni hivi bunge hilo litaanza kujadili faili la kuuliwa kigaidi na Marekani, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Abu Mahdi al Muhandis na mashahidi wenzao wanane.