-
Muungano wa al Faf'h Iraq: Trump na Biden ni pande mbili za sarafu moja
Nov 04, 2020 04:15Muungano wa al Fat'h katika Bunge la Iraq umetangaza kuwa Donald Trump na Joe Biden ni pande mbili za sarafu moja na kwamba, yeyote atakayeshinda uchaguzi wa rais wa Marekani baina ya wawili hao atahudumia maslahi ya harakati za Wazayuni za kutaka kujipanua zaidi katika eneo hili la magharibi mwa Asia.
-
Uingereza na Palestina; miaka 103 baada ya Azimio la Balfour
Nov 04, 2020 03:14Juzi Jumatatu tarehe Pili Novemba ilisadifiana na kutimia mwaka wa 103 wa Azimio la Balfour.
-
Jihadul Islami: Nchi za Kiarabu zitabeba dhima ya mauaji ya Maher al-Akhras
Nov 03, 2020 03:35Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imesema tawala vibaraka za Kiarabu zitabeba dhima ya chochote kitakachompata matekani Mpalestina anayeshikiliwa katika korokoro ya utawala haramu wa Israel, Maher al-Akhras.
-
Tahadhari ya kutokea tetemeko la kisiasa katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu Palestina
Nov 03, 2020 03:31Kwa kuendelea maandamano katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala dhalimu wa Israel, rais wa utawala huo ametoa tahadhari kuhusu mgogoro mkubwa na hatari ambao amekiri kwamba tayari umeanza kutetemesha kuta za utawala huo.
-
Wabangladesh zaidi ya 50,000 waandamana dhidi ya Macron, wataka uhusiano na Ufaransa uvunjwe
Nov 02, 2020 10:18Watu wasiopungua elfu hamsini wameandamana leo nchini Bangladesh katika maandamano makubwa zaidi kufanyika nchini humo kulaani msimamo wa rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wa kuunga mkono kuchapishwa tena vikatuni vinavyomvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW. Mbali na kulaani msimamo huo wa Macron, waandamanaji hao wameitaka serikali yao ivunje uhusiano wake wa kidiplomasia na Ufaransa.
-
Al-Hashdu-Sha'abi yaanzisha operesheni ya kulitokomeza DAESH (ISIS) magharibi mwa Iraq
Nov 02, 2020 09:47Vikosi vya Al-Hashdu-Sha'abi ya Iraq vimetangaza kuwa vimeanzisha operesheni ya kutokomeza mabaki ya magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) katika mkoa wa Al-Anbar magharibi mwa nchi hiyo.
-
Hamas yasisitiza kuharakisha kufikiwa ramani ya njia ya kitaifa ya Palestina
Nov 02, 2020 04:08Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametaka kuharakishwa kufikiwa ramani ya njia ya kitaifa ya Palestina.
-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel
Nov 02, 2020 00:52Vijana watatu wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la al-Jalil, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kukosoa Maulamaa wa Afghanistan kimya cha Saudi Arabia mbele ya kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW
Nov 01, 2020 23:02Maulamaa nchini Afghanistan wamekosoa vikali kimya cha Saudi Arabia mbele ya kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW.
-
Wapalestina waandamana, wataka kuachiwa huru Maher al Akhras
Nov 01, 2020 04:37Wananchi wa Palestina wamefanya maandamano leo wakitangaza uungaji kono wao kwa matekani Mpalestina anayeshikiliwa katika korokoro ya utawala haramu wa Israel, Maher al Akhras.