-
Araqchi: Jumuiya ya ECO inapasa kuongoza katika kuasisi utaratibu mpya wa kiuchumi wa kikanda
Sep 16, 2025 22:50Abbas Araqchi Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi (ECO) inaweza na inapasa kuongoza na kutoa mchango athirifu katika kuunda utaratibu mpya wa kiuchumi katika eneo la Asia Magharibi.
-
Umoja wa Mataifa: Israel imetenda jinai za kivita Ukanda wa Ghaza
Sep 16, 2025 22:49Tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imetangaza kwamba Israel imefanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Gaza.
-
Kumbukumbu ya miaka 43 ya mauaji ya Sabra na Shatila yaliyofanywa na Israel na kuitikisa dunia
Sep 16, 2025 08:36Mauaji ya Sabra na Shatila ni mfano mmoja tu wa jinai za kutisha zilizofanywa na utawala wa Israel huko Lebanon na kuitikisa dunia mwaka 1982, ambapo mauaji hayo leo yametimiza miaka 43.
-
Ghaza yaandamwa na mashambulio ya kiwendawazimu ya Wazayuni, wanakaribia kuikalia kikamilifu
Sep 16, 2025 03:33Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limeanzisha mashambulizi makali ya anga dhidi ya Mji wa Ghaza kwa saa kadhaa, ambapo mbali na kuwaua shahidi Wapalestina kadhaa linateketeza pia majengo na miundomsingi iliyosalia katika eneo hilo.
-
Kwa mara ya kwanza Netanyahu akiri kwamba Israel imenasa kwenye kinamasi cha 'kutengwa' kimataifa
Sep 16, 2025 03:17Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kwa mara ya kwanza hadharani kwamba utawala huo ghasibu unatumbukia kwenye lindi la "kutengwa," wakati mashinikizo ya kimataifa yakiwa yanaongezeka dhidi ya vita vinavyoendelezwa na jeshi la kizayuni katika Ukanda wa Ghaza na dhidi ya sera za serikali ya Netanyahu ya mrengo wa kulia yenye misimamo mikali ya chuki na ubaguzi.
-
Namna Ghaza inavyowabebesha jinamizi la kiafya wanajeshi wa Israel
Sep 15, 2025 22:47Makumi ya wanajeshi wa utawala wa wa Kizayuni wa Israel waliovamia Ghaza wameambukizwa magonjwa ya ngozi ya kuambukiza.
-
UNRWA: Hakuna sehemu salama katika Ukanda wa Gaza
Sep 15, 2025 07:18Philippe Lazzarini, Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuwa, hivi sasa hakuna sehemu salama huko Gaza na kwamba mashambulizi ya anga yanaendelea kushika kasi.
-
Al Mayadeen: Rasimu ya taarifa ya kikao cha Doha itakuwa ya kurudia kuulaani tu utawala wa kizayuni
Sep 15, 2025 03:33Rasimu ya mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za Kiarabu na Kiislamu unaofanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha inaonyesha kuwa, taarifa itakayotolewa mwishoni mwa kikao hicho itakuwa ni ya kulaani tu vitendo vya utawala wa kizayuni wa Israel.
-
HAMAS: Kufanya ibada ya Kiyahudi Rubio na Netanyahu kwenye Ukuta wa Buraq ni kuitusi Quds na Msikiti wa Al Aqsa
Sep 15, 2025 02:55Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, pamoja na Benjamin Netanyahu, ambaye anasakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC ya kufanya ibada ya Kiyahudi kwenye Ukuta wa Buraq, ambayo ni sehemu isiyotenganika na Msikiti wa Al-Aqsa, ni kuuvunjia heshima waziwazi utakatifu wa msikiti huo na ni ukiukaji wa hadhi ya kihistoria na kisheria ya Baitul Muqaddas.
-
UNRWA: Sambamba na mauaji ya kimbari, Israel imeifanya Ghaza 'ardhi ya nyika' isiyofaa kuishi binadamu
Sep 15, 2025 02:54Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena umesema una wasi wasi mkubwa juu ya hali mbaya sana ya maisha katika Ukanda wa Ghaza sambamba na kushadidi mashambulizi ya mabomu na makombora yanayofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo lililowekewa mzingiro.