-
Sayyid Nasrullah: Utawala wa kibaguzi wa Israel utaangamia
May 27, 2020 03:31Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utasambaratika na kuangamia na kwamba matukio yote yanayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Asia Magharibi yapo dhidi ya maslahi ya utawala huo pandikizi.
-
Kiongozi wa ISIS nchini Iraq auawa katika shambulizi la anga
May 26, 2020 23:14Kikosi cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Iraq kimetangaza habari ya kuangamizwa kinara wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo, Mu'taz al-Jubouri katika shambulizi la anga.
-
Wayemen: Muungano vamizi wa Saudia umesimamisha meli 20 zilizobeba chakuka
May 26, 2020 03:42Muungano vamizi wa Saudi Arabi umesimamisha meli 20 zilizobeba chakula na nishati ya mafuta katika bandari ya Jizan.
-
Kiongozi wa upinzani ndani ya Knesset: Netanyahu anataka kuzusha vita vya ndani Israel
May 26, 2020 03:33Kiongozi wa upinzani katika bunge la utawala haramu wa Kizayuni lijulikanalo kwa jina la Knesset sambamba na kukosoa vikali matamshi ya uchochezi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo aliyoyatoa mahakamani, amesema kuwa Netanyahu anafanya njama za kuibua vita vya ndani huko Israel.
-
Harakati ya Answarullah ya Yemen yaipongeza Hizbullah ya Lebanon kwa kuwashinda Wazayuni
May 26, 2020 03:15Mohammed Abdul-Salam, Msemaji wa Harakati ya Answarullah ya Yemen ametoa pongezi kwa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kutokana na kulikomboa eneo la kusini mwa nchi hiyo kutoka katika makucha ya utawala pandikizi wa Kizayuni Israel.
-
Wakati Saudia na Imarati zinapoitumia vibaya Sudan na baadaye kuiacha "solemba"
May 26, 2020 02:19Kwa muda sasa Sudan imebadilisha misimamo yake ya kisiasa kama njia ya kuvutia misaada ya kifedha kutoka kwa nchi kama Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Saudi Arabia lakini nchi hizo hazioneshi utashi wowote wa kuitatulia Khartoum matatizo yake zaidi ya kuitumia tu kufanikishia malengo yao binafsi.
-
Israel yawashambulia wasimamishaji swala wa Palestina katika mwaka wa 53 wa kutekwa Masjidul Aqsa
May 25, 2020 01:56Wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel wamewashambulia waumini wa Palestina na kuwazuia kusimamisha swala ya Idul Fitr katika Msikiti wa al-Aqsa.
-
Kufichuliwa kashfa ya Saudia ya kutuma maelfu ya magaidi nchini Iraq
May 25, 2020 00:02Kusambazwa faili la sauti katika mitandao ya kijamii kumepelekea kufichuliwa kashfa ya Saudi Arabia kutuma maelfu ya magaidi wa nchi hiyo kwenda Iraq katika miaka ya hivi karibuni.
-
Rais Rouhani alipongeza taifa la Lebanon kwa kuwadia sikukuu ya ushindi wa muqawama
May 24, 2020 23:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelipongeza taifa la Lebanon kwa mnasaba wa kuwadia sikukuu ya muqawama, yaani maadhimisho ya ushindi mkubwa na wa kujivunia wa wananchi wa Lebanon dhidi ya wavamizi wa nchi yao, yaani utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Madai ya Marekani kuhusu serikali ya Pakistan kuyapa hifadhi makundi yanayopinga serikali ya Afghanistan
May 24, 2020 23:25Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa ripoti na kudai kwamba serikali ya Pakistan sambamba na kuyapa hifadhi makundi yanayoipinga serikali ya Afghanistan, pia inayaunga mkono.