-
Biden: Si sahihi kuiruhusu Israel iuteke Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
May 07, 2020 08:47Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrats amesema kuwa, si sahihi kuiruhusu Israel iuteke Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuuingiza katika ardhi nyingine za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Kupata ridhaa ya Bunge serikali mpya ya Iraq; mwisho wa mkwamo wa kisiasa wa miezi mitano
May 07, 2020 07:04Baada ya miezi mitano ya mkwamo wa kisiasa nchini Iraq, hatimaye Bunge la nchi hiyo limeidhinisha Baraza la Mawaziri la Waziri Mkuu Mustafa al-Kadhimi.
-
HAMAS yatahadharisha kuhusu njama za kuiyahudisha Palestina
May 07, 2020 03:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaja mpango wa kuunganisha Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kama njama hatari zaidi ya kuziyahudisha ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Kuongezeka mirengo ya Wayemeni wanaoilaumu na kuikosoa Saudia
May 06, 2020 20:11Matukio yanayojiri kusini mwa Yemen, vita vinavyoendelea na vile vile kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini humo vimeifanya Saudi Arabia iandamwe kwa wakati mmoja na lawama na ukosoaji wa kila upande wa serikali ya Yemen iliyojiuzulu na ile ya Uokovu wa Kitaifa ya nchi hiyo.
-
Saudia yakumbwa na mgogoro mkubwa wa kiuchumi, mishahara yapunguzwa
May 06, 2020 06:57Janga la COVID-19 limeshadidisha mgogoro wa kiuchumi Saudia Arabia na sasa mishahara ya wafanyakazi katika sekta binfasi nchini humo imepunguzwa kwa asilimia 40.
-
Uchambuzi wa Sayyid Hassan Nasrullah juu ya uamuzi wa Ujerumani dhidi ya Hizbullah
May 06, 2020 03:36Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kwamba uamuzi wa Ujerumani wa kuituhumu harakati hiyo kuwa ni ya kigaidi ulitokana na mashinikizo ya Marekani na utawala haramu wa Kizayuni.
-
Ushirikiano wa Hamas na Misri katika kukakbiliana na magaidi wakufurishaji eneo la Sinai
May 05, 2020 23:43Duru mjini Cairo zinadokeza kuwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) inashirikiana na serikali ya Misri katika kukabiliana na magaidi wakufurishaji katika eneo la Sinai.
-
Operesheni kali dhidi ya mabaki ya wanachama wa Daesh (ISIS) yaanza nchini Iraq
May 05, 2020 06:50Msemaji wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Iraq ameelezea amri ya Adil Abdul-Mahdi, Waziri Mkuu wa Iraq ya kuanzishwa operesheni kali dhidi ya mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.
-
Nasrullah: Tangazo la Ujerumani dhidi ya Hizbullah ni kwa maslahi ya Wazayuni
May 04, 2020 22:18Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon sanjari na kulaani hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiita harakati hiyo ya muqawama kuwa ni kundi la kigaidi, amesisitiza kuwa serikali ya Berlin imeshindwa kuwasilisha ithibati yoyote ya kuyapa nguvu madai yake hayo.
-
Helikopta za Marekani zanaswa zikiwasafirisha magaidi wa DAESH (ISIS) kutoka Syria na kuwapeleka Iraq
May 04, 2020 09:39Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya An-Nujabaa ya Iraq imetoa mkanda wa vidio unaoonyesha jinsi helikopta za jeshi la Marekani zinavyowahamisha kutoka Syria na kuwapeleka Iraq magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS).