-
Wanazuoni wa dini zote duniani watakiwa waungane kupinga vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran
Apr 16, 2020 10:19Mkuu wa Baraza la Maulamaa wa Kisuni nchini Iraq amewatolea mwito wanazuoni wa dini na madhehebu zote duniani kuchukua msimamo mmoja wa kupinga vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran.
-
Tuhuma za ajabu, Saudia yamtuhumu kibaraka wake kuwa anaisaidia Iran kuuza mafuta yake
Apr 16, 2020 03:16Mohammed bin Saeed Aal Jabir, balozi wa Saudi Arabia nchini Yemen, jana alimtuhumu afisa mmoja wa ngazi za juu wa serikali ya Abdu Rabbuh Mansour Hadi, rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu na kukimbilia Saudia kwamba anashiriki katika kuiuzia Iran mafuta yake.
-
Magaidi 27 waliopewa mafunzo na Marekani wajisalimisha kwa jeshi la Syria
Apr 16, 2020 03:14Mkuu wa kituo cha upatanishi baina ya pande hasimu nchini Syria kilichoko chini ya Wizara ya Ulinzi wa Russia amesema kuwa, magaidi 27 ambao wamepewa mafunzo na Marekani kwa ajili ya kushambulia taasisi za mafuta na miundombinu nchini Syria, wamejisalimisha kwa jeshi la serikali.
-
Kuharibiwa turathi za kihistoria na kidini za Yemen; jinai nyingine ya utawala wa Aal Saud
Apr 16, 2020 03:13Vita vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen vimesababisha hasara kubwa kwa miundombinu ya kiutamaduni na kidini ya nchi hiyo.
-
Saudi Arabia katika kinamasi cha Yemen
Apr 15, 2020 20:12Hali ya sasa ya Yemen inaonyesha kuwa, viongozi wa Saudi Arabia wamepatwa na kiwewe na kukosa la kufanya kuhusiana na yanayojiri katika nchi hiyo jirani.
-
Answarullah ya Yemen: Malengo ya Marekani ya kumuua Qassem Soleiman hayajafikiwa
Apr 15, 2020 08:40Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Wananchi ya Answarullah nchini Yemen amesisitiza kuwa, Marekani haijaweza kufikia malengo yake ya kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Hali mbaya ya mfungwa wa kisiasa katika jela ya utawala wa Saudia
Apr 15, 2020 06:59Hali mbaya ya jela za Saudi Arabia imepelekea kuzorota kwa afya ya mmoja wa wafungwa wa kisiasa na kumpelekea ahamishiwe hospitalini.
-
Wairaki waomboleza siku 100 za kuuawa shahidi Luteni Qassem Soleimani
Apr 14, 2020 23:27Marasimu ya kukumbuka siku 100 tokea kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC pamoja na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq, zimefanyika mjini Karbala nchini humo.
-
Hizbullah: Muqawama umejiandaa kupambana na maadui
Apr 14, 2020 07:09Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya muqawama daima iko tayari na imejiandaa barabara kukabiliana na chokochoko za maadui.
-
Hamas yataka OIC ichukue hatua za kuzuia unyakuzi wa ardhi unaofanywa na Israel
Apr 13, 2020 22:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetaka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ichukue hatua za dharura za kuzuia hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel kunyakua ardhi zaidi za Wapalestina katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.