-
Hizbullah: Muqawama umejiandaa kupambana na maadui
Apr 14, 2020 07:09Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya muqawama daima iko tayari na imejiandaa barabara kukabiliana na chokochoko za maadui.
-
Hamas yataka OIC ichukue hatua za kuzuia unyakuzi wa ardhi unaofanywa na Israel
Apr 13, 2020 22:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetaka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ichukue hatua za dharura za kuzuia hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel kunyakua ardhi zaidi za Wapalestina katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Onyo la Taliban dhidi ya kutoheshimu Marekani makubaliano ya amani
Apr 13, 2020 21:58Kundi la wanamgambo wa Taliban limeonya kuwa, kutoheshimu Marekani hati ya makubaliano ya amani ya Doha Qatar kutakuwa sababu ya kuendelea vita nchini Afghanistan na kwamba, Washington ndio itakayobeba dhima ya hilo.
-
Kukosolewa na Lebanon utendaji wa asasi za kimataifa kuhusiana na janga la Corona
Apr 13, 2020 07:16Utendaji wa asasi za kimataifa kuhusiana na janga la virusi vya Corona umekosolewa vikali na Hamad Hassan, Waziri wa Afya wa Lebanon.
-
Seneta wa Marekani akiri kushindwa Saudia katika vita vya Yemen
Apr 13, 2020 06:27Seneta mmoja wa Marekani amekiri kwa njia isiyo ya moja kwa moja kushindwa Wasaudi katika vita vya kichochezi dhidi ya watu wa Yemen.
-
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon: Muqawama uko katika kilele cha uwezo na nguvu
Apr 13, 2020 03:29Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Muqawama wa Hizbullah nchini Lebanon ameeleza katika kumbukumbu za shambulio la mwaka 1996 la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika eneo la kusini mwa Lebanon, kwamba vikwazo vya Marekani na vitisho vya utawala wa Kizayuni havijaweza kuzuia mafanikio ya muqawama.
-
Malengo ya Saudi Arabia ya kukanyaga mara kwa mara usitishaji vita nchini Yemen
Apr 13, 2020 01:41Habari kutoka Yemen zinasema kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa kiimla wa Saudi Arabia ungali unaendelea kukanyaga usitishaji vita uliotangazwa na muungano huo wenyewe huko Yemen.
-
Mashambulio ya Saudia yameisababishia sekta ya elimu Yemen hasara ya mabilioni
Apr 12, 2020 23:09Wizara ya Elimu ya Yemen imesema mashambulio na hujuma zinazofanywa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo maskini ya Kiarabu zimeisababishia sekta ya elimu ya nchi hiyo hasara ya dola bilioni 12.
-
UAE yanunua mfumo wa makombora wa Israel na kuwapa wapiganaji wa Haftar
Apr 12, 2020 23:08Umoja wa Falme za Kiarabu umenunua mfumo wa kisasa wa makombora kutoka utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa ajili ya kuwapa wanamgambo wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar.
-
Saudia inaongoza kwa kuwa na waathirika wengi wa Corona katika nchi za Kiarabu
Apr 12, 2020 23:06Saudi Arabia inashika nafasi ya kwanza kwa kuwa na waathirika wengi wa virusi vya Corona kati ya nchi za Kiarabu, baada ya kufikisha waathirika zaidi ya 4000.