-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yasema haitaacha kuwaunga mkono Wapalestina
Feb 01, 2020 09:40Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amekosoa tangaza la mpango wa Marekani na Israel ambao ni maarufu kama 'muamala wa karne' kwa ajili ya kutatua kadhia ya Palestina na kusema nchi za Kiarabu katu hazitaliacha taifa la Palestina peke yake.
-
Erdogan: Nchi za Kiarabu zinazounga mkono "Muamala wa Karne" ni wasaliti kwa wanadamu wote
Feb 01, 2020 04:15Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema, nchi za Kiarabu zinazounga mkono mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" haziisaliti Quds na watu wa Palestina pekee, bali zinachofanya ni uhaini dhidi ya wanadamu wote.
-
Operesheni ya ‘al-Buniyan al-Marsus’ ya Wayamen; kushindwa kistratijia utawala wa Saudi Arabia
Feb 01, 2020 03:10Hivi karibuni jeshi na kamati za wananchi wa Yemen walitekeleza operesheni muhimu ya ‘al-Buniyan al-Marsus’ dhidi ya utawala wa Saudi Arabia.
-
Wapalestina kadhaa wajeruhiwa baada ya askari wa Israel kuuhujumu Msikiti wa Al Aqsa
Jan 31, 2020 11:38Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo na kuwajeruhi Wapalestina kadhaa waliokuwa wamefika hapo kwa ajili ya Sala ya Ijumaa.
-
Kukombolewa Khan Tuman; ushindi muhimu nchini Syria
Jan 31, 2020 08:29Vikosi vya jeshi la Syria vimelikomboa eneo la Khan Tuman katika operesheni za kuyatimua makundi ya kigaidi katika maeneo ya nchi hiyo yaliyokuwa yamevamiwa na kukaliwa kwa mabavu na makundi hayo.
-
Raia wa Yemen wafanya maandamano makubwa kulaani "Muamala wa Karne"
Jan 31, 2020 07:36Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano makubwa ya kulaani njama mpya za Marekani dhidi ya taifa madhlumu la Palestina na wamelaani vikali mpango wa Donald Trump wa "Muamala wa Karne."
-
Bin Salman azidi kuwakandamiza wakosoaji kutokana na uungaji mkono wa Trump
Jan 31, 2020 04:17Mwanaharakati mkosoaji wa Saudia Arabia ameeleza kuwa uungaji mkono wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia unamfanya mrithi huyo wa kiti cha ufame azidi kuwakandamiza waziwazi wale wote wanaoukosoa utawala huo wa Aal Saud.
-
Ismail Haniyeh: Raia wa Palestina hawatosamehe ushiriki wa watawala wa Kiarabu katika Muamala wa Karne
Jan 30, 2020 10:13Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, Ismail Haniyeh ametuma ujumbe kwenda kwa viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu akionya ushiriki wa aina yoyote kwa ajili ya kutekelezwa au kuukubali mpango wa Muamala wa Karne na kubainisha kuwa hilo ni kosa kubwa ambalo kamwe raia wa Palestina hawatolisahau.
-
Syria: Ugaidi wa kiuchumi ni mwendelezo wa ugaidi wa kifizikia
Jan 30, 2020 09:59Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa ugaidi wa kiuchumi ni mwendelezo wa hatua zilizo dhidi ya ubinaadamu za kuyatumia makundi ya kigaidi.
-
Radiamali ya ulimwengu wa Kiarabu kwa mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne
Jan 30, 2020 08:30Jumanne ya juzi tarehe 28 Rais Donald Trump wa Marekani alizindua rasmi mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne.