-
Mpango wa "Muamala wa Karne" na udharura wa kuwepo umoja wa Kiislamu kwa ajili ya kuitetea Palestina
Jan 30, 2020 03:31Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambayo siku zote imekuwa mtetezi halisi wa kadhia ya Palestina imezidisha harakati zake za kufanya mashauriano ya kidiplomasia na pande nyingine kwa shabaha ya kukabiliana na mpango wa Muamala wa Karne" uliotangazwa na Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Ansarullah yashambulia tena shirika la Aramco na taasisi nyingine muhimu Saudi Arabia
Jan 29, 2020 23:57Harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah imetangza kuwa imeshambulia taasisi za shirika kubwa zaidi la mafuta la Saudi Arabia la Aramco katika eneo la Jizan karibu na Bahari Nyekundu.
-
Umoja wa Mataifa wasisitiza misimamo yake ya awali kuhusu utawala wa Kizayuni
Jan 29, 2020 23:09Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametoa radiamali kuhusiana na uzinduzi wa mpango wa Kimarekani wa 'Muamala wa Karne' na kusisitiza kuwa umoja huo bado unafungamana na maazimio yake kuhusiana na mji wa Quds na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
-
Taasisi ya Israel: Mpango wa Muamala wa Karne hauwezi kudhamini usalama wa eneo
Jan 29, 2020 23:07Taasisi isiyo ya Kiserikali ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel inayoitwa 'Amani Sasa' imeutaja mpango wa Kimarekani wa 'Maumala wa Karne' kuwa ulio mbali na uhalisia wa mambo na kusisitiza kuwa, pamoja na mpango huo, haitowezekana kudhaminiwa usalama na amani ya eneo.
-
Muamala wa Karne; usaliti wa wazi dhidi ya Palestina kutokana na makosa ya kistratijia ya baadhi ya Waarabu
Jan 29, 2020 08:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba kile kinachotajwa kuwa 'Muamala wa Karne' kwa hakika ni 'Hiana na Usaliti' dhidi ya taifa la Palestina.
-
Kuzinduliwa mpango wa Kizayuni na Kimarekani wa "Muamala wa Karne" kwalaaniwa kila pembe ya dunia
Jan 29, 2020 04:44Kuzinduliwa mpango wa Kizayuni na Kimarekani wa "Muamala wa Karne" kumelaaniwa na nchi na shakhsia wengi wa kisiasa katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Palestina yaomba kikao cha dharura cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Jan 28, 2020 21:58Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) imeomba kikao cha dharura cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu baada ya kuzinduliwa kile ambacho Marekani imekitaja kuwa 'Muamala wa Karne' kuhusu kadhia ya Palestina.
-
Ndege ya kijasusi ya muungano wa Saudia yaangushwa kaskazini mwa Yemen
Jan 28, 2020 21:57Ndege isiyo na rubani ya kijasusi ya muungano vamizi wa Saudia imeangushwa katika oparesheni ya pamoja ya Jeshi la Yemen na Kamati za Wananchi wa nchi hiyo.
-
Larijani: Lengo la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha Waislamu
Jan 28, 2020 08:28Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema madhumuni ya njama za Marekani dhidi ya Wapalestina kwa jina la 'Muamala wa Karne' ni kuwadhalilisha na kuwatweza Waislamu.
-
Saudia yaipongeza Marekani kwa mauaji ya kigaidi ya Jenerali Soleimani
Jan 28, 2020 08:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameipongeza Marekani kwa kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) pamoja na wanzake kadhaa nchini Iraq.