-
Askari wa Israel wamuua kamanda wao huko Gaza
Aug 24, 2025 04:17Mabomu yaliyotegwa na askari wa kikosi kimoja cha jeshi la Israel ili kuwaua Wapalestina yamemuangamiza kamanda wa kikosi hicho mwenyewe kusini mwa Gaza.
-
Wanaharakati Brazili wataka kukomeshwa vita vya Gaza, uhusiano na Israel
Aug 23, 2025 23:27Vyama vya mrengo wa kushoto, wanaharakati wa haki za binadamu, na waungaji mkono Palestina nchini Brazil wameandamana na kutoa mwito wa kukomeshwa vita vya Gaza na kukata uhusiano na utawala ghasibu wa Israel.
-
Walimwengu wazidi kulaani mpango wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi wa E1
Aug 23, 2025 23:27Walimwengu Wameendelea kulaani mpango mpya wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaojulikana kama E1.
-
Mwanasoka mwingine wa Palestina auawa na Israel, FIFA yaendelea kuwa kimya
Aug 23, 2025 23:26Mchezaji mwingine wa soka Palestina ameuawa shahidi na jeshi la utawala ghasibu wa Israel akiwa katika safu ya chakula cha msaada huku Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) likiendelea kukaa kimya.
-
Baa la njaa lashadidi Ghaza, Wapalestina waliouliwa shahidi na jeshi la kizayuni wakaribia 62,300
Aug 23, 2025 07:29Wizara ya Afya ya Palestina imeeleza katika takwimu zake za hivi karibuni kwamba, Wapalestina wasiopungua 62,263 wameuawa shahidi katika vita vya mauaji ya kimbari vilivyoanzishwa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza Oktoba 2023.
-
Kashfa kubwa ya utawala wa Kizayuni: Israel, kituo kikubwa zaidi cha biashara ya dawa za kulevya barani Ulaya
Aug 23, 2025 06:09Kwa mujibu wa ripoti ya kituo cha runinga cha Israel, Channel 12, Israel inazidi kuwa kitovu kikuu cha biashara ya dawa za kulevya kuelekea katika nchi za Ulaya.
-
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lahimizwa lipeleke vikosi vya kulinda amani Ghaza
Aug 23, 2025 06:02Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediterania limelitaka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa litekeleze azimio la kihistoria kwa kupitisha uamuzi wa kulivuka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kupeleka kikosi cha kulinda amani katika Ukanda wa Ghaza.
-
Askari vamizi wa US waanza kuondoka kambi ya Ain al-Asad, Iraq
Aug 23, 2025 02:45Wanajeshi vamizi wa Marekani wameanza kuondoka katika kambi ya anga ya Ain al-Asad katika Mkoa wa Al-Anbar nchini Iraq, hayo ni kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Maafisa 15 wa jeshi la anga la Israel watimuliwa kwa kutoa wito wa kusitishwa vita Gaza
Aug 23, 2025 00:26Jeshi la utawala dhalimu wa Israel limewafuta kazi maafisa 15 wa jeshi la anga kwa kosa la kutoa mwito wa kusitishwa vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa tena wito wa kusitishwa vita Gaza
Aug 23, 2025 00:24Katikati ya mwanzo wa uvamizi wa utawala wa Israel katika mji wa Gaza, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesisitiza ulazima wa kusitishwa mara moja mapigano huko Gaza.