-
Russia: Marekani na Troika ya Ulaya zimeingiza siasa katika mpango wa nyuklia wa Iran
Sep 07, 2025 23:03Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika mashirika ya kimataifa amesisitiza kuwa, Troika ya Ulaya na Marekani zimelifanya faili la mpango wa nyuklia wa Iran kuwa la kisiasa.
-
Uhispania kuiwekea Israel vikwazo kamili vya silaha
Sep 07, 2025 23:02Serikali ya Uhispania imetangaza kuwa, inapanga kuiwekea Israel vikwazo kamili vya silaha kutokana na jinai zinazofanywa na utawala huo ghasibu katika Ukanda wa Gaza.
-
Mkusanyiko wa zaidi ya watu laki tano wa kuunga mkono Palestina watikisa mji wa London
Sep 07, 2025 23:02Maelfu ya watu wamekusanyika katika mji mkkuu wa Uingereza London katika moja ya maandamano makubwa zaidi ya kuunga mkkono Palestina.
-
Kwa nini Tume ya Ulaya haikubali hata maneno ya mwakilishi wake yenyewe kuhusu mauaji ya kimbari huko Gaza?
Sep 07, 2025 23:01Siku ya Ijumaa, Agosti 5, Kamisheni ya Umoja wa Ulaya ilipuuza kauli ya Teresa Ribera, Naibu MKuu Mtendaji wake kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel katika Ukanda wa Gaza, na kudai kwamba jinai hizo zinaweza tu kuthibitishwa na mahakama husika.
-
Filamu 'Sauti ya Hind Rajab' yashinda tuzo ya Simba ya Fedha kwenye Tamasha la Filamu la Venice
Sep 07, 2025 08:30Filamu ya "Sauti ya Hind Rajab" (The Voice of Hind Rajab) imeshinda tuzo ya Silver Lion kwenye Tamasha la Filamu la 82 la Venice baada ya kuonyeshwa kwenye tamasha la Italia, na kuwatoa machozi watazamaji walioipigia makofi kwa dadikak 23 mtawalia.
-
Washington Post: Vikwazo vya Marekani kwa mashirika ya haki za binadamu ya Palestina vinatishia vigezo vya kimataifa
Sep 07, 2025 08:29Gazeti la Washington Post limewanukuu wataalamu wa sheria wakisema kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Palestina vinatishia vigezo vya kimataifa.
-
Hasira yatanda Uingereza kuhusu ziara ijayo ya Herzog: Wanasiasa wataka akamatwe
Sep 07, 2025 08:28Ziara iliyopangwa kufanywa wiki ijayo na Rais wa Israel, Isaac Herzog, nchini Uingereza imezusha wimbi la upinzani na hasira katika ya duru za kisiasa, huku kukitolewa wito wa kususiwa na hata kusitishwa safari hiyo katika kipindi cha sasa ambapo utawala wa Israel unaendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza. .
-
Je, China imejibu vipi tuhuma za Trump?
Sep 07, 2025 03:19Ikiwa ni katika kujibu madai ya Trump, China imetangaza kwamba kupanua ushirikiano wake na nchi nyingine sio tishio kwa nchi yoyote ya tatu.
-
Jinsi Google ilisvyoshirikiana na Israel kuficha njaa huko Gaza, Palestina
Sep 07, 2025 03:08Katika jaribio la kuficha njaa ya kimfumo ambayo imesababishwa na Israel huko Gaza, serikali ya Tel Aviv imetia saini mikataba mikubwa ya utangazaji na kampuni za kimataifa kama vile Google, X, na zingine kusambaza propaganda zinazokana uwepo wa njaa katika Ukanda wa Gaza.
-
Uchunguzi: Waisraeli wengi wanahofia kusafiri nje huku hasira ya kimataifa dhidi ya Israel ikiongezeka
Sep 07, 2025 03:06Uchunguzi wa maoni unaonyesha kuwa 56% ya Waisraeli wanaogopa kusafiri nje, 67% hawaamini kuwa serikali inawawakilisha, na 62% wanaunga mkono makubaliano ya kina ya kusitisha mapigano kati ya Israel na harakati ya mapambano ya ukombozi wa Palestina ya Hamas ambayo ni pamoja na kuachiliwa huru mateka.