-
Rais wa Bolivia: US inatumia kisingizo cha 'vita dhidi ya mihadarati' kuidhibiti Amerika ya Latini
Aug 22, 2025 06:33Rais Luis Arce wa Bolivia amelaani hatua iliyochukuliwa hivi karibuni na Marekani ya kutuma wanajeshi wake katika Bahari ya Karibea kusini.
-
Shirika linaloungwa mkono na Umoja wa Mataifa latangaza rasmi njaa huko Gaza
Aug 22, 2025 04:01Shirika la The Integrated Food Security Phase Classification (IPC), linaloungwa mkono na Umoja wa Mataifa lenye jukumu la kutathmini njaa duniani, limetangaza rasmi baa la njaa katika Jiji la Gaza kwa mara ya kwanza.
-
Idadi ya Wamarekani wanaoomba hifadhi nchini Canada inaongezeka
Aug 22, 2025 03:31Data za Bodi ya Uhamiaji na Wakimbizi ya Canada zinaonyesha kwamba Wamarekani wengi wameomba hadhi ya ukimbizi nchini Canada katika nusu ya kwanza ya 2025 kuliko mwaka wote wa 2024, na zaidi ya mwaka wowote kamili tangu 2019.
-
Je, Marekani kwa vikwazo vipya dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) inajiona kuwa juu ya sheria?
Aug 21, 2025 09:31Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetaja vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya taasisi hiyo kuwa ni shambulio la wazi dhidi ya uhuru wa mahakama.
-
58% ya Wamarekani wanaunga mkono kulitambua taifa la Palestina
Aug 21, 2025 08:13Asilimia 58 ya Wamarekani wanaunga mkono hatua ya nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zinazolitambua rasmi taifa la Palestina. Hii ni kwa mujibu wa uchunguzi mpya ya maoni ulioandamana na matumaini kuwa Israel na Hamas zinaweza kufikia makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Wafuasi wa Trump wakasirishwa na kutoroka kwa afisa wa Israel anayetuhumiwa kwa uhalifu wa kingono
Aug 21, 2025 08:12Vuguvugu la MAGA (Make America Great Again) linaushinikiza utawala wa Trump kueleza ni kwa nini afisa wa serikali ya Israel aliyekamatwa katika operesheni ya siri dhidi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto huko Nevada aliruhusiwa kuondoka Marekani baada ya kuachiliwa kwa dhamana.
-
ICC: Vikwazo vya US ni hujuma dhidi ya mamilioni ya wahanga wa jinai
Aug 21, 2025 02:13Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetumia maneno makali kuilaani Marekani, kwa hatua yake ya hivi karibuni ya kuwawekea vikwazo majaji wa mahakama hiyo, kutokana na juhudi zao za kuwafungulia mashitaka maafisa Marekani na Israel wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu wa kivita na aina nyingine za ukatili.
-
Makocha wa Soka wa Italia wataka Israel itimuliwe kwenye Mashindano ya FIFA na UEFA
Aug 20, 2025 23:31Kabla ya mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia kati ya Italia na Israel, Chama cha Makocha wa Italia (AIAC), kinachojulikana pia kama Assoallenatori, kimeomba rasmi mashirika ya soka ya kimataifa kuiondoa Israel katika mashindano ya soka ya kimataifa.
-
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kuongezeka mauaji ya wahudumu wa misaada ya kibinadamu
Aug 20, 2025 08:59Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu kuongezeka mauaji ya wahudumu wa misaada ya kibinadamu.
-
Waziri mkuu wa Australia apuuza shutuma za Netanyahu
Aug 20, 2025 08:45Waziri mkuu wa Australia Anthony Albanese leo amepuuza shutuma za Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya uamuzi wa nchi hiiyo wa kulitambua taifa la Palestina, na kusema anawaheshimu viongozi wa nchi nyingine.